Wana jf nahitaji mtu wakushirikiana nae kwenye biashara awe na mtaji wa millioni 20

tabu kuishi

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
353
43
Wana JF kwa mtu yoyote aliyetayari kufanya biashara na mkaribisha ajee tushirikiane kuna biashara naijuwa ambayo inalipa sana na ni halali kwa mujibu wa sheria TZ kama mtu yupo seriously karibu tushirikiane kwani umoja ni nguvu no one can stand alone

Biashara iko hivi,Utaelekezwa ukachukue Madawa ambayo ni Adimu na Mteja ni Mzungu yupo tayari kununu hayo madawa kwa faida ya 80% and above.
utaenda kununua hayo madawa.wakati unarudi kufanya supply kwa mteja hapo ndio mwisho wa biashara kwani mteja atakuwa Amesafiri kidogo kurudi ulaya.

People Be Careful na biashara za kimya kimya au unatakiwa utoe pesa upfront.

This one cracked me up! LoL

Wewe jamaa response ya post zako nyingi huwa ni za ki magumashi magumashi sana...huwa unafanya utani sana kwenye ishu serious za watu
Kwa kifupi huwa ukitangulia ku respond kwenye post za watu huwa una haribu sana flow ya maoni!!!!!!
This z just my observation...kama nimekukwaza, samahani

mkuu, hapa jf watu ni wepesi sana kusoma ramani, unapost issue unatakiwa uwe na facts, deatails plus transparency

hii post ina lack some things to be regarded as genuine

gabage in garbage out . .. .. ( 01 0101 01010)

Wana JF kwa mtu yoyote aliyetayari kufanya biashara na mkaribisha ajee tushirikiane kuna biashara naijuwa ambayo inalipa sana na ni halali kwa mujibu wa sheria TZ kama mtu yupo seriously karibu tushirikiane kwani umoja ni nguvu no one can stand alone

Tatizo wewe una utani sana. Kuna m2 alikua anaomba ushauri wa kazi wa kufanyia fuso yake ukamwambie akabebee mkaa, Au akuuzie kwa Tshs 7M.

So hata hapa nina wasi wasi unafanya utani pia. Just lets be careful with our responses.

• Thanks
Reactions: LAT

duh! Kumbe utani una madhara.

Tatizo wewe una utani sana. Kuna m2 alikua anaomba ushauri wa kazi wa kufanyia fuso yake ukamwambie akabebee mkaa, Au akuuzie kwa Tshs 7M.

So hata hapa nina wasi wasi unafanya utani pia. Just lets be careful with our responses.

mkuu hana utani, huyu ni tapeli ni kumpotezea tu

Ideas yangu ni kufunguwa kiwanda cha kusindika sembe na mafuta ya alizeti nina uwezo wa kupata malighafi kwa urahisi kwani mimi nimetoka kijijini kwenye familia zinazlima kilimo cha biashara piya tani 10 ya mahindi inatoa faida laki saba tani 10 cost 3,000,000/= transport 400000/= umeme na wafanya kazi 300000/= tani 10 zinatoa viroba 140 vya kilo 50 bei ya kiroba kimoja ni 28000*160= 4480000 plus pumba gunia 40*7000=280000 4480000+280000 =4760000-cost 3700000= profit = 1060000 kwa weeki moja unaweza kukoboa na kuuza tani 30 mimi nikombioni kuwacha kazi na kujiajiri nipo benki wakati wowote naondoka kwenda kufanya biashara

Wandugu JF kuweni makini kuna wanigeria wanajua kiswahili mbaya siku hizi,kuweni makini na biashara za kujuana online,Biashara gani hiyo ya kuficha? Ogopa Matapeli msije kusema sijawaambia,changa la macho hilo,kama kweli anataka mil 20 kwanini asiandike mchanganuo akaenda benk akapewa mkopo wa mil 20? huyu ni tapeli tu

Naomba nikujibu kaka uliyesema habari za mkaa jee unajuwa kuwa mkaa ni moja biashara zinazolipa sana nenda kiyegea gairo gunia 15000@ dar 30000@ bei ya jumla minus cost za transport hukosi 8000 ukizidisha mara 100= 800000 kwa mwezi unaweza kuleta mara mbili kwa mwezi tuwache uoga wakuajiriwa jaribuni

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom