augustino ameri
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 267
- 57
Natarajia wiki hii kutembelea iringa nisaidien ,wapi na eneo gani kuna guest nzuri na pia eneo gan zuri kwa mapumuziko wikiend .Tafadhali chumba kisizidi 15000.
Natarajia wiki hii kutembelea iringa nisaidien ,wapi na eneo gani kuna guest nzuri na pia eneo gan zuri kwa mapumuziko wikiend .Tafadhali chumba kisizidi 15000.
15000 ni ya guest za uswaz mkuu
Nenda pale Kilimanjaro lodge opposite na Baclays bank ni sehemu nzuri sana na ni city center
Hahaha uwiii nikiwa na stress nikiingia humu nafarijika eti guest ni za wenyeji na wazinzi.....