Kanuniya68
Senior Member
- May 26, 2013
- 157
- 44
Karibu UDZUNGWA LODGE KIHESA. Rum 15000/. Chumba self,.yan ful ..utaenjoy
Nenda KUNDIKILI GUEST HOUSE. Bei poa elfu 5000/= lakini itabidi uwavumilie kunguni na viroboto.
hela huna halafu unataka utembelee miji ya watu. Iringa tunatakaga wenye pesa beeh
Jaman ile pale kwa chini b4 hujakata kona kuingia stendi kuu ya mabasi, nimeisahau jina, kigorofa fulan cheupe...ni hotel nzuri kaka, nafasi ya kutosha chumban, kitanda sita kwa sita, vyoo saaafi, chanel lukuki, lift inakusindikiza kukuokolea muda! Ila ni 55,000 kwa chumba, hiyo ya 15 haina haja ya kuuliza maana mh majanga best.
I think you mean Kalenga Hotel right?
Is is awesome, and you will never regreat your money. Price range from 35,000 to 75,000Tsh I think.
Natarajia wiki hii kutembelea iringa nisaidien ,wapi na eneo gani kuna guest nzuri na pia eneo gan zuri kwa mapumuziko wikiend .Tafadhali chumba kisizidi 15000.
Natarajia wiki hii kutembelea iringa nisaidien ,wapi na eneo gani kuna guest nzuri na pia eneo gan zuri kwa mapumuziko wikiend .Tafadhali chumba kisizidi 15000.[/QUO
UKIFIKA ULIZIA ......LUTHERAN CENTRE.....
Kidhungu... YOU WILL NEVER REGREaT Duuuuh!
I think the spelling of the word regret is wrong. I think. i think. i think
...teh teh teh..duh kweli jf ni faraja hata kwa wajane!
kwanza useme. unataka yenye bar jirani. dada poa au wewe ni sheikh unataka uwe karibu na masjid ?
Pale hawaruhusu kuingia na mgeni jinsia tofauti....hapawezi nadhan...mkuu tutafute wenyeji tupoNatarajia wiki hii kutembelea iringa nisaidien ,wapi na eneo gani kuna guest nzuri na pia eneo gan zuri kwa mapumuziko wikiend .Tafadhali chumba kisizidi 15000.[/QUO
UKIFIKA ULIZIA ......LUTHERAN CENTRE.....
safi sana iwe na bar au karibu na bar.wasichana wazuri nifarijike macho tu.
macho tuu ? nina wacwac