Nakuaminia mkuu una busara......lakini ku change kwangu nisikemee thread zisizo an tija?
.....huyu si cuppy wake anamuulzia? si wanasihi pamoja? kwanini asimpigie simu mpaka aje kujaza nafasi......
....threa d za namna hii zinafanya watu makini hawaonekani......
Yaani vijana wangu wengi tuu siwaoni.....nikianza na
-Icadon
-Masanilo -shemu langu la nguvu
-belindajacob
-womanof substance -sijui na yeye kapotelea wapi
alafu kuna the one and only YOURNAMEISMINE (Jamani kahadimika kama jasho la nyoka)...
-Balantanda
-Moelex (my brother)
-
yaani and list goes on and on

NN mbona yupo,sema anaingia usiku wa manane.tembelea profile yake alafu angalia post zake za mara ya mwisho kupost ilikuwa ni jana,nadhani yupo busy tu na mambo yake.