Yupo around...
Rafiki yangu Mwiba amefulia...tehe tehe
Fundi Mchundo....where are you?...come back man
Balatanda..........good to see you man
Kichuguu
Kuhani
Dilunga
Pundit
Kiranga
Mkuu Mzee Mwanakijiji
Dua
Choveki
Mwiba
Defunkdelic or somethin....
Mkuu Mzee Kyoma
Kada Mpinzani
sam
.....na Wakuu wengine tafadhali msipotee.........Taifa linawahitaji......kwa saana tu
Enzi za hawa jamaa hapa JF hakukuwa na upupu kabisa. Unasoma issue zako mpaka unapenda, facts. Sasa hivi,,,,,upupu kibao,lundo..., si ajabu wakakimbia!
-WikipediaTanzania's leading bloggers' home known as JamiiForums (The Home of Great Thinkers) launched by Maxence Melo and Mike Mushi in 2006 gets more than 35 million hits a month from all over the world. It is the only source which revealed all corruption deals in Tanzania that led the two (Mike and Maxence) into a one week detention. It is currently Tanzania's source of news that journalists interact with the world to feed news in time. They fall under a slogan "Where we Dare To Talk Openly!"
Tafuta kazi ufanye wewe Mpemba.....Mazee kama watakimbia mboni fresh tu? Kuna over 35 mil tanzanians kwani hao wana kitu gani sisi wengine hatuna? JF ni baba lao, hapa ni marejeo na mwisho wa reli Kigoma!
-Wikipedia
Tafuta kazi ufanye wewe Mpemba.....
...hio wikipedia inakinzana na max......yeye maxence melo anajiita kama JF founder na sio Co-Founder.....wiki inasema walikuwa wawili....
ati nini? JF uzushi mwingi....sikuwa banned kuna watu wanataka kunichafulia.....ah ....we kirusi umerejea? 😀
ati nini? JF uzushi mwingi....sikuwa banned kuna watu wanataka kunichafulia.....
kuna post za watu nimeona na kuna thread pia.....mpemba ushan'fahamu?Kwani nani kasema ulikuwa banned? teh teh teh..
kuna post za watu nimeona na kuna thread pia.....mpemba ushan'fahamu?
katika wapemba woote wenye ninaowaona ni wewe na Dr salim ila leo unaanza kunisikitisha......unamuamini painkiller? hujang'amua tu kuwa alikuwa anajitutumua kwa shori Belinda....
Pemba inateketea umeshakwenda hivi karibuni? jamaa wanakata gogo barabarani hawana vyoo......Bwa ha ha ha....basi bana ulikuwa hujafungiwa..haya sikusikitishi tena.
Mazee kama watakimbia mboni fresh tu? Kuna over 35 mil tanzanians kwani hao wana kitu gani sisi wengine hatuna? JF ni baba lao, hapa ni marejeo na mwisho wa reli Kigoma!
-Wikipedia
Rafiki yangu Mwiba amefulia...tehe tehe
I expected YoYo to show some respect to our ladies after the 'LOOONG VACATION'!............