Wana jf dsm tunakutana lini


hahahaaaaaaaaa nimependa hiyo staili ya kuweka silaha!
 
Last edited by a moderator:
chardams, sikia kuondoka ni ijumaa tarehe 28 desemba na kurudi ni Jumapili tar 30 desemba.
Usiogope.

Madame B, vacation yangu inaisha tarehe 24 Dec, ambapo natatakiwa niwe niripoti kibaruani. hivo kwangu hiii ni ngumu na sio kuwa naogopa.
 
Madame B, vacation yangu inaisha tarehe 24 Dec, ambapo natatakiwa niwe niripoti kibaruani. hivo kwangu hiii ni ngumu na sio kuwa naogopa.

hii ndio hasa kawaida ya watu wa Dar! Sound kibao, sababu milioni, utekelezaji ziro! Hah hah hah hah! Almost lyk ccm. Lol
 
Hata nami ningependa tukutane ila nawaogopa watu wa usalama kuhatarisha maisha yetu. Kwani tutakutana kwa mema ila kuna wengine watakuja ili kuchukua habari nani ni nani ili kuwatonya mafirauni wa usalama, matokeo yake unatoka nje unamwagiwa tindikali na kuachana na JF moja kwa moja.
 
mimi bana nikihakikishiwa kuwa ndom za kutosha zitakuwepo (i need at least a carton) nitakuja,short of that hamtoniona.


Mbona una mawazo ya kibongo fleva? Kama kukutana, tutakutana ili kubadirishana mawazo na kuimarisha network among sisi members. Nani aliyekuambia kutakuwa na mashindano ya kuto.mbana?
 
je tunaruhusiwa kuja na watoto wetu ilimradi tu msiwatongoze, maana baadhi ya wanaume humu jf hawashikiki wakiona k imekatiza.


Usiwe na wasiwasi, mjomba wao nipo gado. Atakayethubutu kuulizia tu anakula panga la kichwa.
 

Kwa uoga huu huwezi hata kujimuvuzisha kwenye baa au grossary ya jirani kupata angalau ndyofu 1. Huwezi kwenda hata kwenye kikao cha harusi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…