Wana JF Arusha

Watu mnakutana kwa Mwamvuli wa JF wakati wenye-JF wenyewe hawajui.
Ok, mnaweza kudai JF ni ya wote ndio kwani nanyi ni member, but hii sio forum ambayo ipoipo tu, ina taratibu zake.
Hata kama hamzungumzii forum, but identity yenu hapo ni JF-members,
Ni angalizo tu wakuu, otherwise Mods wanaweza wakanirekebisha.
Wabillah Tawfiq
 
jf makao makao makuu wanataarifa!
 
Mgao wa umeme umesababisha nishindwe kulifahamu hili mapema. Naamin hakijaharibika kitu, tuombeane uzima. Hope tutaendelea kufahamishana!
 

Huko mnakokutana mnaitana majina yapi?real names zenu au haya ya jf?
 
Poleni sana wale mliokosa. Kikao kilikuwa kizuri sana, tulikutana wana jf wengi na tuli'enjoy' sana! Kikao kingine ni mwisho wa mwezi. Mliokosa mnaweza kuja.
 
Jackbaur nasikitika nimeiona post yako baada ya kikao. Pole sana.
 
Na sisi nje ya nchi sasa itakuaje??
 
Wana jf mpwapwa mpoo?
Khaa! Ina maana mpwapwa nipo mwenyewe.
 
nawaonea wivu sana aisee.... ngona na sie wa Mwanza tuanzishe
 
Itabidi na mimi nihamasishe wana JF Nansio Ukerewe Mwanza tuanze kukutana pale Ukumbi wa Social ama vipi? Ila nahisi hata mimi huku visiwani nipo peke yangu!
 
halafu wewe nakudai.....hivi kwa nini hupendi kulipa madeni ya watu?
Du,
Huyu nae UKIMKOPA anakomaa kudai hadi unaweza kuamua kubadilisha njia!
Jamani, si yalikuwa maelewano ya kawaida tu?, kwanini umwone mwenzio kama mkosefu hadi kumganda hivyo?
 
Wana Jf-DSM,
Tukutane tarehe 2 viwanja vya mnazi mmoja,
sisi hatukutani kwa ajili ya kujuana wala kusheherekea chochote,
bali lengo moja tu ''MAANDAMANO KUPINGA MGAO WA UMEME USIO NA MWANZO WALA MWISHO'', taratibu zingine zinafuatiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…