Hongereni Saaana! Kazaneni wakati ni huu.Tumekuwa na utaratibu wa wana JF tunaoishi Arusha kukutana kila mwezi na kesho tarehe 2, July 2011, kutakuwa na kikao cha wana JF waishio Arusha kuanzia saa 11:00 jioni pale Soweto Club, maeneo ya Soweto. Kiingilio hakuna. Wana JF wote wanakaribishwa. Tafadhali mfahamishe na mwenzio.
hivi ina maana wana jf mnajuana kwa sura!
Nilitegemea reply kama hii.....🙂Hatukazani mkuu! Tunakutana tu.
wow! I never knw 'bout this.nlijua jf members are 'invisible men' kumbe mnaweza kufahamiana thats great! Kila laheri mumie,i wish i cld be there.@graceirene Tunajadiliana mambo mengi ya kijamii. Just try and you will reveal how best it is!
wow! I never knw 'bout this.nlijua jf members are 'invisible men' kumbe mnaweza kufahamiana thats great! Kila laheri, i wish i cld be there.@graceirene Tunajadiliana mambo mengi ya kijamii. Just try and you will reveal how best it is!
Hatukazani mkuu! Tunakutana tu.
Ila wewe umekuwa msanii sana mkuu...Hakika hata mimi nitakuwepo ninahamu sana ya kuonana na Ma member wenzangu!
Grace naweza kuwa mwenyeji wako leo.....mimi nitakuja , lakini ungenidokeza huwa mnajadili nini ?
Tumekuwa na utaratibu wa wana JF tunaoishi Arusha kukutana kila mwezi na kesho tarehe 2, July 2011, kutakuwa na kikao cha wana JF waishio Arusha kuanzia saa 11:00 jioni pale Soweto Club, maeneo ya Soweto. Kiingilio hakuna. Wana JF wote wanakaribishwa. Tafadhali mfahamishe na mwenzio.