Wana JamiiForums waliosoma na Paul Makonda

Salt Bae

Senior Member
Jan 9, 2019
140
196
Hivi humu jamii forum kuna watu waliosoma na mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam atuambie ata uwezo wake ulikuwaje darasani ata waliosoma nae chuo
1059456
 
Yaani hapo.pierre hatomboi na jamaa ndio kamuharibia hivyo..hasa aliposema kuwa wanamtumia kwa matagazo ya biashara kama balozi ndio kamuua kabisa

Wa sukumaland
 
Hivi humu jamii forum kuna watu waliosoma na mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam atuambie ata uwezo wake ulikuwaje darasani ata waliosoma nae chuoView attachment 1059456

Huyu jamaa wakati nipo High School Old moshi alikua anatubania kuangalia EPL na Uefa Champions league kwenye hall ya Chuo cha ushirika pale na alikua mwaka wa Kwanza tu. Wana Old moshi tulikua tuna mchukia mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom