Wana JamiiForums waliosoma na Paul Makonda

Waswahili hamueleweki.

Si huwa mnasema kufeli shule sio kufeli maisha.

Sasa kama alipata f f f f na kwa sasa amekuzidi wewe kwa almost kila kitu pamoja na hizo A zako. Nani anakuwa amefaulu kimaisha ?
Aiseee!
 
Waswahili hamueleweki.

Si huwa mnasema kufeli shule sio kufeli maisha.

Sasa kama alipata f f f f na kwa sasa amekuzidi wewe kwa almost kila kitu pamoja na hizo A zako. Nani anakuwa amefaulu kimaisha ?
Unathibitishaje kua kanizidi!? na pia ukimzidi mtu ndo ulete dharau kumuita binadam mwenzio wa hovyo!? Shame on you na huyo bashite wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom