GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,034
Duh itakuwa umefanyiwa zengwe tuwakuu jukwaa la siasa limefutwa? Naona Kwenye simu Yangu yanakunja majukwaa mengine Tu..
Samia ni Magufuli.Huwezi kunshinikiza Raisi acha kujimwambafy wewe. Mkuu wa mkoa kazingua yeye mwenyewe tu.
Mlimpa pressure ya PM kiko wapi?
Uliinunua Tandika / Mlimani City Mkuu?Wakuu jukwaa la siasa limefutwa? Naona Kwenye simu Yangu yanakunja majukwaa mengine Tu.
Ubongo wako umejaa ' Makamasi ' tupu.Huwezi kunshinikiza Raisi acha kujimwambafy wewe. Mkuu wa mkoa kazingua yeye mwenyewe tu.
Mlimpa pressure ya PM kiko wapi?
Unapenda sana kuokoteza maembe yaliyooza na unaanza kujisifu nayo. Mwenyewe unajiona una akiiili tunakuchora tu.Ubongo wako umejaa ' Makamasi ' tupu.
Sasa kujua Siri za viongoz ndio nn mkuu, ni vile rais hajaamua tu wakiamua kumminya pumbu hizo Siri atazitolea wapi? Jamaa ana bahat yake tu ila sio kwamba hawezekaniki lahasha ,dakika mbil nying wakiamua kumwondoa au kumtia hatian na hana jeur ya kuropoka chochoteMsidhani Makonda ni kama hao wengine. Kama mnataka nchi ichafuke mguseni Makonda. Anafaham siri za wote hao walio madarakani. Ndo maana hata ilikanushwa vikali kuwa hatafutwi na hamna mpangi huo.
Trust me Bashite si kama hao wengine. Ndo maana unamwona ana kula pension tu. Huyo hawataweza mgusa labda kwa makubaliano anayoyataka yeye. Wanamwogopa sana. Ana mambo yao mengi ambayo kayatega tu wakizibana nanii zake naye atafinya ninii zao.Sasa kujua Siri za viongoz ndio nn mkuu, ni vile rais hajaamua tu wakiamua kumminya pumbu hizo Siri atazitolea wapi? Jamaa ana bahat yake tu ila sio kwamba hawezekaniki lahasha, dakika mbil nying wakiamua kumwondoa au kumtia hatian na hana jeur ya kuropoka chochote