SALAMU.
NAOMBA MSAADA WENU ILI NIPATE MATOKEO YA FORM SIX YA MWAKA JANA 2010 (MTIHANI ULIFANYIKA 27 SEPTEMBA)
Tafadhalini naomba kufahamishwa ili nipate kujua kijana wangu akisoma huko shule za Uganda.
in uganda, hakuna mitihani inayofanywa september, hata wa darasa la saba hufanya early november.,
mitihani ya form six hufanywa november, hadi december.,
mayb if its not national exams