Wana IT naomba msaada

Wana IT naomba msaada

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
918
Reaction score
1,099
Nishawai kupigiwa video call nikapokea sura alikuwa mh.Joket kweli kwenye screen nilimuona kwa macho yangu.
Ila sasa huyu ni tapeli anayesumbua uko facebook watu wanalia sana make mtu akishaonda video call tiyari anaamini kabisa.

But nasikia kuna program ambayao unaweza weka sura ya mtu mwingine na mtu akaamini kuwa ni wewe mwenyewe. Hii imeakaje wanajukwaa. Watu wanatapeliwa sio masihara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom