Wana I.T wa Bongo

Wana I.T wa Bongo

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,284
Reaction score
13,720
Hivi I.T inahusisha mambo ya simu tuu mbona hili jukwaa lipo lipo watu daily kujadili mambo ya simu tuu sijui whatsaap yangu imefanyaje mimi hizi issue zinanikera hebu tujifunze mabo ya tija! jamani .
 
Kweli kabisa kwa mfano kujadili jinsi serikali inavyopoteza kila mara pesa kuandikisha watu, mtanzania anavitambulisho vingi kweli, vitambulisho vya urai,kupigia kula ,bima ya afya ,kazi nazani taarifa zingeweza kuungashwa na kuwa na taarifa zinazoishi kwa kutumia mfumo wa kopyuta
 
ni kama unamlaumu mwenzako sababu anakula ugali kila siku unafkiri anapenda?

Kila mtu ana ukomo wake na kitu anachokijua, kama unaona kuna kitu cha tija kinahitajika kupostiwa then unaweza andika hata wewe.
 
Hivi I.T inahusisha mambo ya simu tuu mbona hili jukwaa lipo lipo watu daily kujadili mambo ya simu tuu sijui whatsaap yangu imefanyaje mimi hizi issue zinanikera hebu tujifunze mabo ya tija! jamani .

hili swala lina ukweli ndani yake. hapa jukwaani ni mobile phones 80% yaani ukileta mada nyingine usishangae ukaambiwa wewe ni mshamba.

nimeona kuna mdau alileta uzi wa DRONES zinazotumiwa kupiga picha za mikutano ya siasa, cha kushangaza wachangiaji wanasema ni ushamba.

hili swala linatufunga kengele kuona kwamba mobile phones peke yake ndio mada ya kuchangia. Mtu akiona mada isiyohusisha ANDROID au WINDOWS au iOS basi anapita zake.
 
ni ukwel ulisemalo, ila sio tatizo la I.T bali kwa ujumla hizi elimu ni ngumu kwetu na wachache wamejifunza kadri mdaunavokuwa mkubwa watuwataelewa nin I.T tunaanza na simu then tutakuja kwenye the whole system, jiulize swali hili moja tu, JE? KWA MWAKA MMOJA ULIOPITA JF IMEDEVELOP NINI KATIKA MUONEKANO WAKE, UFANISI WAKE,
 
Ndo hivyo tunahitaji issue zenye tija nakumbuka nilishawahi kuleta uzi wa Cyber Crimes haukuchangiwa kabisa wala hakuna aliye like
 
Back
Top Bottom