Gangilonga imebalika sana,wamekata miti.Vumbi mtindo moja.
Tukumbushane highlands pia.Mnakumbuka karani mnoko Hamisi Aka mwalimu hamisi?
mm wa gangilonga. Mdogo mm cwajui hao. ila gangilonga kwa vigogo cmnajua tena. umeme haukatiki. ulaya hata at
Umesema ukweli mtupuKwenye huu uzi nimejifunza kitu. WaTanzania wengi tunakumbukumbu nzuri za shule zetu lakini wachache tunadiriki kurudi na kusaidia shule zetu.
Tubadilike. Tuzipende hizi shule ambazo ndo zilitujengea msingi wa maisha tuliyonayo leo.
Kiongozi uko wapi siku hizi?Umesema ukweli mtupu
Nipo Dodoma... Si Unajua tenaKiongozi uko wapi siku hizi?
RIP Jumakidogo DaaahVijana mbona mnajadili wake za watu hapa, aaah. Huyo ticha mi nilimuoa na nimezaa nae watoto wanne. Kausheni jama.
Nilikutangulia mwaka mmoja mlandege nilimaliza 1984 enzi za MALIPA, kulikuwa na mwalimu enzi hizo anaitwa MAWABU sababu alikosea kuandika MAWABU badala ya MAJAWABU. Nikaingia Highland 1985-1988.Huu uzi umenikunbusha mbali sana. Huyo Hamis nilikutana nae mwaka jana hapa Dar akasema bado yupo Highlands.
Nilikuwa Iringa mwaka 2011 imebadilika sana. Nilisoma Mlandege Primary enzi za mwalimu Malipa na kuishi Mjimwema then Highlands 1986 mpk 1989, headmaster akiwa Choudhry na niliishi mitaa ya sabasaba karibu na hotel ya Thako hawa watengeneza mafuta ya alizeti. Kwa ujumla Iringa imebadilika sana.
RIP Mwalimu Mkuu Mama DuleIngekuwa vizuri kama tukiwaweka majina yao wapendwa wetu wote Wanafunzi na Walimu wa Gangilonga waliotangulia mbele za haki za Mwenyezi Mungu, Mwalimu Mlimbira,Mwalimu Hassani
Mkuu Mwal. Hassani amevuta lini.Ingekuwa vizuri kama tukiwaweka majina yao wapendwa wetu wote Wanafunzi na Walimu wa Gangilonga waliotangulia mbele za haki za Mwenyezi Mungu, Mwalimu Mlimbira,Mwalimu Hassani