princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 381
hellooooo!!!!!!!!!!!
mamboooo!!!!!!! nimewamicijeeee!! hebu sogeeni pande hzi mnipe yaliyojili ndani ya nyumba miezi mi2 iliyopita!!
Nimepita na hawa wafuatao...
[*=center]Lara 1
[*=center]madameX
[*=center]madame B
[*=center]ciello
[*=center]The secretary
[*=center]catherine
[*=center]charminlady
[*=center]cacico
[*=center]snowhite
[*=center]nivea
Na wote unao wajua bila kumsahau mwa j na zinduna
My dia princes envy nilikumisije? Karibu tena
My dia princes envy nilikumisije? Karibu tena
princess enny na uniambie kabisa ulikuwa wapi? Usipokuja na jibu la kuridhisha unarudi ulikotoka saa hii. BTW missed you a lot. Karibu tena mwaya!!
afu wewe,ndo mambo gani ya KUAGA BILA KUONDOKA? Ulifichwa wapi!?welcome back
Dah niko na zawadi yako princess enny
Hivi huwa mnaenda wapi??? na mimi nataka niende huko
karibu mwaya... ulipotelea wapi???
tobaaaaa!!! najuta kujua!!!
hahahahah utapaweza kwel!!?? bora ubaki hukuhuku!!
mmh haya karibu tena...bado waikumbuka mitaa ya hapa au ndio mpaka tukushike mkono