wana chit-chat tuombeni uongozi watuwekee hii.

wana chit-chat tuombeni uongozi watuwekee hii.

Sasa hivi unajifanya mjanja baada ya kurekebisha eenh hahahah....we huoni hata wadau wawili wa mwanzo walidhani ni effect ya pilau ya Maulid!!!

mie mjanja watu8 na sasa nataka nikutunuku cheo kingine cha pili uwe mshengamkwe.
 
Last edited by a moderator:
Pilau la Maulidi hlo.
Chezea mchele wa Kitumbo miksa ng'ombe.

hahaha shemeji Madame B tabu ya hiyo kitu nahisi huwa inanyonya maji mwilini maana mtu haishi kunywa maji ukichanganya na hili joto la hapa dar na balaa kabisaaa.!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom