Shem vp bhana.
Za mida!
hahaha ndio maana mwanao charming lady hataki uwe unatembea bila mawani yako ya kusomea
Mi ningekua na huo "Mkanda wa kijani" pekee...hiyo mingine ingekuwa na rangi nyeupe.
acha kabisa pilau la bishori nimejikuta natype code za c++ bila kujijua hahaha.
umeonaee?
Duh!!! subiri tu watakuwekea hiyo, maana hata nimeshindwa kujua nini kinaendelea!!
mwenzio nautaka huo white belt. Sijui nifanye nini ili niupate.
Shemeji yajo kashashiba pilau!
hahaha shem me mzima sana tu niliandika mcharazo umeshindwa kuusoma? haya nime edit.