Wana chadema tuna kila sababu kutembea vipya juu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana chadema tuna kila sababu kutembea vipya juu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kagalala, Nov 6, 2010.

 1. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu wana JF, kwa maoni yangu nadhani wanachama wa CHADEMA wanaweza kutemba vipya juu kwamba wanakubalika Tanzania. Nasema hivyo si kwamba tumeshinda uchaguzi hila tumepata kura nyingi kwa mtaji kigodo. Kama ni biashara Chadema wamepata faida kubwa sana kulinganisha na CCM.
  Nikiongelea kiasi cha pesa ambacho CCM imetumia kuweza kupata kura Milioni 5 na kiasi cha pesa ambacho CHADEMA imetumia kuweza kupata kura milioni 2, ni kwamba CCM imepoteza pesa nyingi sana katika uchaguzi huu. Ni uhakika CCM imetumia si chini ya 15 billion TZS, katika uchaguzi huu (mwenye data kamili anaweza kutupa makadrio) na CHADEMA hawajafikisha hata billion 3 TZS (mwenye data amwage)
  CCM imepata kura nyingi kutoka kwa watu ambao wamepiga kura kwa sababu wamepata fulana na kofia za green and yellow. Chadema imepata kura kutoka kwa watu wanaoitakia mema Tanzania na wenye uchu wa mabadiliko na maendeleo.
  CCM imetumia vyombo vya habari hasa TBC na magazeti yenye kujikomba kwao, lakini CHADEMA haikuwa na TV au redio iliyokuwa inavutia kwao.
  CCM imetumia mali za serikali kama vile magari kupiga kampeni, wakuu wa mikoa na wilaya, makatibu tarafa na kata wote wengi kama sio wote walipigia kampeni CCM waweze kuendelea na vyeo vyao. CHADEMA haikuwa na hiyo previlage.
  Kwa mtazamo wangu CHADEMA wamepata kura nyingi zenye maana kuliko CCM waliopata kura nyingi za kununua.
  WANAJF NIPE MAWAZO YENU
   
 2. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Uko sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Maneno yakujifariji hayo ila ni vizuri kufarijiana, kwani dhoruba iliyo wakuta hamkuitegemea aisee. Umekosa kunde wasingizia.................................
   
Loading...