masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,643
- 14,642
Ni kweli kabisa na ndio maana kuna watu walidiriki kusema Awamu ya Tano ni ya kidikteta.Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Yaliyompata Saanane watu waliyaona.Baada ya Jiwe kuondoka sasa kila mtu anasema ya moyoni
Umenikumbusha mbaali sana bhagoosha!
Walipanda mbegu zenye sumuNi kweli kabisa na ndio maana kuna watu walidiriki kusema Awamu ya Tano ni ya kidikteta.
Maamuzi yalitolewa bila majadiliano.
Ikafika muda Magufuli mwenyewe slilewa madaraka na kutamka wazi kuwa hawezi kuchukua ushauri wala mawazo ya wengine.
Thubali, Awamu ya Tano CCM ilikuwa disaster kisiasa.
Mnafki tu huyu jamaa. Alikuwa wapi kipindi chote kujitokeza hadharani kuongea haya?Mjumbe wa NEC mkoa wa Pwani, Haji Juma anasema machache juu ya madhaifu ya Dkt. Bashiru akiwa Katibu Mkuu CCM.
CCM ilikuwa kama nyumba ya udongo iliyopigwa ripu na rangi kwa nje lakini ndani ilikuwa bado ya udongo.
Alibadilika alipo pata madaraka na kuacha alichokuamini na kulinda maslahi yake binafsi na aliyemchagua.
Dkt. Bashiru alianza kukidhoofisha chama chetu ndani na kujenga makundi yenye hatari ya ukanda.
Katika uongozi wake vikao vya CCM vilitumika kama rubber stamp tu.
Katika uchaguzi uliopita wagombea wengi walioshinda uchaguzi wa ndani ya CCM walikatwa kwa wingi kuliko wakati wowote tangu CCM ianzishwe.
Robo ya wabunge wote waliopo bungeni hawakushinda chaguzi za ndani ya CCM.
Sasa huo utakatifu wa Dkt. Bashiru unatoka wapi?
Nina mengi sana ya kusema juu ya Dkt. Bashiru.View attachment 1771052
Jamaa waliamua kuupanda ubaguzi wa kikanda sasa unawatafuna
Mnafki tu huyu jamaa. Alikuwa wapi kipindi chote kujitokeza hadharani kuongea haya?
Ukweli wanaouongea sasa, ungekuwa na impact sana nyakati zile. Kwasasa tunawaona wanafki tu.Palikuwa na mheshimiwa Mungu. Kwani nani aliweza kufurukuta enzi hizo?
Keshakwenda zake sasa wacha "kazi iendelee."
Hapo bado katelefoni, mparamagamba na wenzao kwenye lile genge lao dhwalimu waliloliasisi la wasukuma halisi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Hao nimakanjanja wa ufipanii. Sisi wanaccm tunatambua kazi nzuri na iliyotukuka aliyoifanya komredi bashiru alli kakurwaa. Kama angefanya hovyo tusingeweza kuwafurumusha wanaufipa huko majimbonii na bungenii. Acheni kutapatapa na bado kazi inaendeleaHuu sasa ni uzuzu. Pwani haina mnec mwenye jina hilo au?
Kwahiyo we umeamua kumkataa mjumbe wenu wa Nec. Au ndio umetoka usingizini hujui kinachoendelea?SEMENI TUUU KWAMBA NYIE MAKANJANJA YA HAPO UFIPANI NDO MNAHANGAIKA BILA KULALA MKIDHANI CHAMA DUME CCM KITABABAIKAA. MNATUNGA PROPAGANDA WENYEWEE HALAFU MNAJIPOST WENYEWEE. MTAPATA TAABU SAAANAA.