Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,289
Wasiishie kuchoma kadi za CCM waende mbali zaidi waikatae CCM na kwa kura pia.
.....Kweli
Wasiishie kuchoma kadi za CCM waende mbali zaidi waikatae CCM na kwa kura pia.
watu wenyewe hawajai hata kwenye kiganja, hawana hata effect hao watu wenyewe wanakalia kuchunga ngombe kula watapiga saaa ngapi za kanda ya ziwa zinatosha kabisa kumpa Dr magufuri uraisi
Ally Bananga na Ole Millya waliona mbali.Naona mzee akisema na tukose wote. Atakuwa mwanachama mtifu wa CDM akikaa na mzee Mtei kama wazee wa Chama tuuuu
Sasa kuchunga ng'ombe si ndio utamaduni wa wamasai ,au ulitaka wafuge Rasta na kucheza kiwanzesa??? Halafu kula haipigwi kura ndio inayopigwa
....Monduli jimbo la CHADEMA
Naomba wachome na nguo za ccm ili wakalibishe ukombozi vzr
hao siyo ccm bali waliipenda ccm kwaajili ya mtu awakupenda chama