Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,289
Hata kidogo kilichobaki chakimbilia UKAWA.
Vita ya panzi furaha ya Mwewe.
Vita ya panzi furaha ya Mwewe.
Mbona hueleweki?
Monduli ni jimbo la chadema.
Hii Hatari
safi sana
Hata kidogo kilichobaki chakimbilia UKAWA.
Vita ya panzi furaha ya Mwewe.
Ukawa wafanye hima kutupa mgombea mapambano yaanze ccm na magufuli wao sasa wanapanga strategy za ushindi including la mikono
waache wa ende tu, hata kanda ya ziwa(Tabora,Shiyanga,Mwanza na Kagera) wamefanya hivyo hivyo, kilichokuwa chadema kimekwenda CCM, sasa nani kaumia?
Watu hao niwapuuzi kama Mungu wao Lowassa
Watu hao niwapuuzi kama Mungu wao Lowassa
Jambo Leo limeripoti kuwa wanachama wa CCM Monduli na Arumeru wameamua kuchoma kadi zao za CCM kutokana kukerwa kwao na kumkata Lowasa kwa maslahi ya wachache
Maamuzi magumu hayo