Wana CCM tutegemee nini marekebisho ya katiba ya chama?

Wana CCM tutegemee nini marekebisho ya katiba ya chama?

Chama kinaenda kubadilisha katiba na kumtambua mzanzibari mwanamke kuwa malkia.
 
Mmedhibiti upinzani kwa nguvu zote mmefanikiwa!!
Sasa ni zamu ya kudhibitiana ccm kwa ccm!! Haitaishia hapo!! huko mbele mambo yanaweza kuwa ni kwa silaha sasa! Yaani kikundi kitakachoshindwa kinaweza kutafuta nguvu kutokea nnje!!
Vita huanzia mbali sana!!
 
Back
Top Bottom