happymwashi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 980
- 846
Una ubaridi wewe..nenda huko vijijini uone watu walivyo na uelewa wa mambo...Kakako anakubalika Chato zaidi
Bila katiba mpya maguful ndiye rais TenaHakuna lolote. Miaka 5 iliyopita kulikuwa na Lowasa na hakuna la maana lililofanyika, sembuse sasa ambapo upinzani ni sawa na kivuli (hakuna mtu).
Inajulikana, kuwe na upinzani imara au kivuli, nani atashinda.