Wana CCM tuache kumdanganya Rais wetu,ushindi safari hii ni wa moto

Zabron Hamis

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
3,974
2,000
Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.

Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
umetumwa na mabeberu na hautafanikiwa. alisikika Kawe Alumni
 
babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,844
2,000
Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.

Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
Kama Hai cdm waje watueleze wamefanya nini miaka mitano. Pamoja na kuwapa halmashauri
FB_IMG_15937848697499293.jpg
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,591
2,000
Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.

Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
Hakuna lolote. Miaka 5 iliyopita kulikuwa na Lowasa na hakuna la maana lililofanyika, sembuse sasa ambapo upinzani ni sawa na kivuli (hakuna mtu).
Inajulikana, kuwe na upinzani imara au kivuli, nani atashinda.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,825
2,000
Utafiti umefanyika Rais Magufuli atashinda kwa 98%

Miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Magufuli atatufanya tuwe kama katari
Acha uongo! Una dini kweli wewe? Huoni hata aibu? Au umevimbewa na kodi zetu? Stupid kabisa.
 
USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,317
2,000
Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.

Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
Mbowe ndio kakudanganya huko kwenye mbege
 
Pacbig

JF-Expert Member
Oct 15, 2017
759
1,000
Bila tume huru ya uchaguzi, uchaguzi hauwezi kuwa mgumu kwa nzi wa kijani.
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,559
2,000
Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.

Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
Wataiba kura mana kashatamka,nakupa mshahara,gari,nyumba kwanini umtangaze mpinzani
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,992
2,000
Kuna wana ccm wa ajabu sana yani wao ukiwauliza utasikia Rais wetu atashinda kwa kishindo,ukimuuliza umefanya utafiti?anaanza kukuambia Raisi kajenga reli,kaleta ndege,meli,mabara bara.Yaani unatamani hata umchape kofi.

Naomba niwaambie wana ccm uchaguzi wa mwaka huu si lelemama.Kuna mambo wananchi wanayazungumza mpaka unashangaa.Kama tutategemea haya mandege ndo kampeni zetu tumekwisha.
Wewe mwenyewe una mapungufu.

Kwa nini usiweke utafiti wako na udadavue huo ugumu wa uchaguzi wa mwaka huu upoje ili tutathimini!

Vinginevyo umeanzisha mada kuchokonoa mkaa, ili uone cheche.

Wanaokujibu kirahisi kuwa mandenge, mareli nk ndiyo kigezo kitakacho mbeba Jpm ndiyo utafiti wao, sasa wewe umetafiti aje?

Na huo upinzani wa kunyang'anyana kura na Magufuli ni upinzani wa chama gani labda?
 
happymwashi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
965
2,000
Rais achaguliw na wananch emb tulizeni kelele ..rais wa jamuur ya Tanzania anachaguliwa na tume! Tunataka katiba mpya bila katiba hakuna zaid ya ccm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom