Wana CCM tuache kumdanganya Rais wetu,ushindi safari hii ni wa moto

Una ubaridi wewe..nenda huko vijijini uone watu walivyo na uelewa wa mambo...Kakako anakubalika Chato zaidi
Hakuna lolote. Miaka 5 iliyopita kulikuwa na Lowasa na hakuna la maana lililofanyika, sembuse sasa ambapo upinzani ni sawa na kivuli (hakuna mtu).
Inajulikana, kuwe na upinzani imara au kivuli, nani atashinda.
Bila katiba mpya maguful ndiye rais Tena
 
Back
Top Bottom