Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,573
- 2,496
Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri Majaliwa baada ya ahadi hiyo amesema atampigia Rais Samia ili kumfikishia salamu hizo.