boss
 
naomba ufute usemi wa kwamba ''sio kila kitu utegemee serikali'' tunaongelea hospitali.
i mean waambie hao serikali wasichukue kodi basi? Walipa kodi wanalipa hiyo kodi ili ifanye shughuli kama hizi. Kama haifanyi shughuli kama hizi inapeleka wapi hizo pesa?
wananchi hawalipi kodi ili chama cha majambazi wakanunulie wake zao shopping kule ulaya? Tunadai haki ya kikatiba ambayo serikali inatakiwa kufanya. Hatuombi msaada hapa hizi ni pesa zetu ambazo serikali inakusanya kufanya yale ambayo wananchi tunataka ifanye.
madai ya watanania kwa serikali yao ni mengi mno....
But kwenda kuzaa sakafuni kwa sababu ni haki yako
serikali ikugharamie........huo ni ujasiri ndio but
at what cost????????
kwa hiyo unachosema wewe ni kuwa
hata kama mtu ana uwezo wa pesa,
aende hospitali za serikali kwa sababu
ndipo huduma bora ilipo sio???????
lakini issue at hand ni hospitali hatuongelei madai mengine and beside serikali ni wajibu wake kama ilivyoahidi na kupitia bajeti zake na kukusanya kodi kwa kazi hiyo. Kama serikali itasema haiwezi kufanya hiyo kazi ije open na kuwaambia wananchi kwamba haiwezi.
wacha,,,,
binadamu tupo tofauti sana....
Mimi binafsi serikali za kiafrika huwa
sitegemei lolote kutoka kwao......
Sidai chochote kile ingawa nalipa kodi......
I know hawa watu ni failures so sishangai......
madai ya watanania kwa serikali yao ni mengi mno....
But kwenda kuzaa sakafuni kwa sababu ni haki yako
serikali ikugharamie........huo ni ujasiri ndio but
at what cost????????
Kijana/Muzee unakosea au unadharau, kuwa nauwezo sio sababu ya kuendeleza uzembe au kukumbatia ujinga , ni jukumu lako/langu kukumbushia haki za msingi za wananchi, Naomi alilia, hata mimi naweza lia, maana sioni sababu zozote za msingi za watu hasa hasa waliokosa nafasi kuendelea kusimangwa/ kuonea kwa hali yoyote ile, ndio maana mtu kama wewe unatakiwa uwatete kwa njia zozote zile ulizonazo ili angalawu wapate kile kinachostahili nayo ni huduma ya afya ambayo ni kitanda kifaacho wakilazwa, huduma ya X-ray ikihitajika, na huduma ya ushauri wa kitaalamu na usafiri pale unapohitajika. enzi zile tulikuwa tuna Combi za waginjwa na zilikuwa zinakuja mpaka mitaani kumchukua mgonjwa. au kumtoa mwananyama kwenda muhimbili, leo hii unatumia taxi wakati mgonjwa huyo anahitaji kulala, au kuongezewa maji/damu wakati akipelekwa hospitali.wacha,,,,
binadamu tupo tofauti sana....
Mimi binafsi serikali za kiafrika huwa
sitegemei lolote kutoka kwao......
Sidai chochote kile ingawa nalipa kodi......
I know hawa watu ni failures so sishangai......
boss,
naombanitofautiane na mawazo yako kwasababu hakuna mtu anayependa shida. Hao akina mama kwenda kulala chini si sababu wanapenda bure no!! Hawana pesa hiyo! Hao wanaolala chini ni sehemu ya watanzania maskini, bado kuna wengi ajabu
hivi unajua mtanzania wa kawaida pato lake kwa siku ni sh ngapi? Je unajua gharama za hispitali binafsi??? Kama ni mwanamke au mwanaume na umewahi kwenda labor au kupeleka mkeo labor ndio utajua taabu iliyoko huko!! Please usije ukadhani hao wako hapo kuigiza... Wanashida hao!!!
Huduma inatolewa kufuatana na kipato. Hao unaowaona hapo hawana kipato cha kuwawezesha kwenda hospitali za binafsi!!!! Wale jamaa unaowaona wakiandamana kila asubuhi kutokea magomeni kuelekea katikati ya mji kwa miguu sio kwamba wamependa,hawana nauli kaka/dada!!!
Naelewa huo ndio mtazamo wako na ndivyo ambavyo unafikiri iko, lakini kiukweli noo haiko km unavyofikiri!! Unasema wanapenda dezo... Yes wapo wapenda dezo lakini si kwenye ishu za kuleta kiumbe kingine ulimwenguni, tena km unavyojua kwa nchi maskini km tanzania kupoteza mama na mtoto ni rahisi sana, so sidhani km wako tayari kurisk mambo yote hayo!!
wewe unachekesha mno hujui tu........
Nenda tena huko aga khan na kwingineko ukaone
wanaotibiwa huko...........
Labda nikupe mfano kuwa sasa hivi
nssf wameanzisha mfuko wa matibabu kwa wanchama
wake na moja ya hospitali zinazotumika ni aga khan...
Sasa unless useme wanachama wote wa nssf ni mafisadi na sio
wazalendo.........
Wafanyakazi wa
bandari,
tanesco
tra.
Na makampuni mengi ya binafsi na serikali
wa kada tofauti wanatibiwa huko aga khan na kwingineko
wewe hujui unachoongea........
Hata konda wa daladala akijipanga anaweza
tibiwa aga khan......
Ni swala la kujithamini na kujua sio kila kitu utegemee
serikali.
Barabara, security issues etc. Kuna indirect services unapata tho no quid pro quowacha,,,,
binadamu tupo tofauti sana....
Mimi binafsi serikali za kiafrika huwa
sitegemei lolote kutoka kwao......
Sidai chochote kile ingawa nalipa kodi......
I know hawa watu ni failures so sishangai......
unazidi kunishangaza!!! Ni asilimia ngapi ya watanzania wana bima ya afya? Wale akina mama wanaochoma chapati barabarani wana bima ya afya? Hujui tu boss, mfumo wa utoaji bima ya afya tanzania ni mbovu kuwahi kutokea duniani. Bima ya afya inawalenga wafanyakazi tu, wafanyabiashara, wakulima, wapiga debe wanazo? Mimi ni mfanyakazi, sina bima ya afya, niambie hao unaowasema wanapataje hiyo bima ya afya. By the way, kama watanzania wote wenye bima ya afya wangekwenda agha khan kwa kuwa ni hospitali bora, huko nako hali ingekuwaje? Kwanini usiungane na sisi kuitaka serikali iboreshe huduma halali ambazo watanzania wanazistahili? Boss, ninawasiwasi umetumwa wewe kama si kwamba kuna agenda ya siri kati yako na serikali yako.
Unafaham wastani la pato la Mtanzania? Mind you na hiyo ni wastani, wamewekwa na matajiri. Lakini ni ngumu saana kwa waliwo wengi. Inawezekana zaidi ya 50%. Ebwana tembea utaona hali ni ngumu saana. Hata ukiondoa hao unaoona exceptional hakuna unafuu. Bado jukumu la serikali kwenye huduma za maana ziko pale. Sasa km wanashindwa hospitali, elimu na barabara what next?kimsingi nakubaliana na pointi yako....
Ninachosema mimi ni kuwa sio wote
wanakwenda hospitali za serikali hawana uwezo...
Mfano mzuri ni nssf wameanzisha huduma ya matababu
kwa gharama isiyozidi laki nne hivi kwa mwaka...
Halafu kama ulifuatilia vyombo vya habari..
Kuna mchezaji mmoja wa yanga,mke wake
alifariki na mtoto tumboni huko temeke hospitali
kwa huduma mbovu,,,,,
sasa siamini mchezaji wa yanga hawezi
kumudu matibabu ya kulipia muhimbili fast trak,au hata
aga khan........
Ninachokisema ni kuwa mentality ya watanzania wengi
ni kuwa afya zao ni mzigo wa serikali......hata kama
wana uwezo........
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Hivi unaelewa tabia za wafadhili wa michezo tanzania, unaweza kufikiria mwisho wa mwezi unapata chako, unakuta deal la mfadhili alijajipa? hivyo mshahara unacheleweshwa. nsa tukio ndio hilo liko mlangoni kwako.kimsingi nakubaliana na pointi yako....
Ninachosema mimi ni kuwa sio wote
wanakwenda hospitali za serikali hawana uwezo...
Mfano mzuri ni nssf wameanzisha huduma ya matababu
kwa gharama isiyozidi laki nne hivi kwa mwaka...
Halafu kama ulifuatilia vyombo vya habari..
Kuna mchezaji mmoja wa yanga,mke wake
alifariki na mtoto tumboni huko temeke hospitali
kwa huduma mbovu,,,,,
sasa siamini mchezaji wa yanga hawezi
kumudu matibabu ya kulipia muhimbili fast trak,au hata
aga khan........
Ninachokisema ni kuwa mentality ya watanzania wengi
ni kuwa afya zao ni mzigo wa serikali......hata kama
wana uwezo........
nilichojaribu kusema ni kuwa
watu wachukulie kuwa afya zao ni muhimu
kuliko kununua khanga au hereni za dhahabu...
zipo dispensary nyingi za binafsi za bei nafuu.....
sio lazima kila mtu akasuburi huduma
ya bure mwananyamala au amana.
mimi binafsi nawajua wamama kadhaa ambao
wana uwezoa kwenda kwenye dispensary
za binafsi za bei nafuu,but wanaenda
hospitali za serikali kwa kila tatizo lao.
wapo kweli masikini wasio na uwezo
but sio wote,wengine ni mazoea ya
huduma za dezo.