Wana CCM naomba mhalalishe picha hizi

Tanzania inasikitisha sana. CCM wamelewa madaraka na wanajiona kwamba Tanzania ni mali yao na wala si mali ya watanzania.

Dawa ni kuwaondoa madarakani ili waelewe kwamba Tanzania si yao pekee yao bali ni WATANZANIA WOTE.

uCHAFU
 
hii ni tanzania
Nakushukuru sana Freeland kwa kuifukua hii thread. Najua wakati huo tayari nilikuwa mwanachama wa JF lakini nashangaa kwa nini sikuweza sikuipitia hii thread. Hata hivyo nashukuru sana tena sana kwa kuniwezesha kumfahamu The Boss ni mtu wa namna gani, duh! Kweli hujafa hujaumbika...michango yake humu imeweza kunisahaulisha hata mada yenyewe ilikuwa inahusu nini, kweli hii ni Tanzania.

Ingawa tumefika mwaka 2015 na Kikwete hakuweza kuondoka madarakani, sasa kuna matumaini, CCM inaweza ikaondoka.
 
bila kuondoa ccm na makandokando yake hakutakuwa na mabadiliko hata chembe .
 

Wewe ni ndorobo kabisa!!

Sasa kwanini wasifaidi kodi wanazolipwa wakikimbizwa mitaani na policcm???

Wewe ni bogas hujielewi hutambui mabadiliko unatambua malimbizizo ya magavana na maamuzi yasiyoona mbele!?

Pia c wapo ndugu zao wanalipa hizo kodi ili ifanyike maendeleo??

Kwanini wasisome bure, pengine ww umesoma na mkopo ama bure na hujarejesha mpaka sasa. Unatambua ni mikopo mingapi Tanzania chini ya ccm imepokea kwa ajili ya afya na imefisadiwa??

Tafakari chukua hatua. Toroka uje ukawa, Chagua Lowassa a + positive reasoning and decisive president
 
Katika marais wote waliopita TZ hakuna kama JK kwa ufujaji, kutojali maisha halisi ya Mtanzania, kujipenda, mbwebwe na damn outright imbecility.
 
Hawa kina mama wengi wanapenda ccm sjui tatoz ni nn?

Mgao wa kanga/vitenge,tisheti na kofia kila baada ya miaka mitano.poleni baadhi ya akina mama mtaendelea kupumbazwa hadi lini.nasema fungukeni sasa.saa ya ukombozi ni sasa.chagueni UKAWA chagueni LOWASA.
 
ni shidah kuichagua ccm coz mambo ni yale yale
 
 
Tatizo letu watanzania ni Upumbafu na Ulofa Kama alivyosema Mkapa, Hao akina mama pamoja na kudhalilishwa kote huko ndio utawakuta wanawapigia Kura CCM, kisa wamepewa doti ya kanga jemeni !!!! Na wanaume wamepewa kapelo na shs 5000. Tuamke jamani hii ni Karne nyingine, TANU ilipokea uhuru ikafa, CCM ikajipongeza kwa kazi ya TANU a ha ife, UKAWA lete Tanzania mpya. Hivi nyinyi hata aibu hamna mnazunguka nchi yote kwa miaka 54 kutoa ahadi zile zile !!!! Hamsemi kwanini hamjatekeleza !! Jibu ni Uongozi usio na maono, sasa si mpumzike muwaachie wengine watupeleke kwenye nchi mpya !!!
 

Wewe kweli ni mpumbavu, Kima , mnafiki mkubwa , unatumia makalio kufikiri, maalun mkubwa wewe
 
Ingawa tumefika mwaka 2015 na Kikwete hakuweza kuondoka madarakani, sasa kuna matumaini, CCM inaweza ikaondoka.

Mag3,
Kwa bahati mbaya utabiri haukutimia. Lakini uzoefu umeonyesha kuwa, tatizo lilikuwa ni JK na baadhi ya washikaji zake na sio CCM. Magufuli ni kinyume kabisa cha JK, yeye ni mchapa kazi na muadilifu kuliko JK na Lowassa.

Tumchague Magufuli na kuikomboa nchi.
 
mbona picha ya daraja la kigamboni haipo
mbona picha za barabara toka dar mtwara dar bukoba hazipo
mbona picha za vyuo vikuu hazipo
mbona hujaweka picha ya maboresho ya hospitali ya muhimbili
sijaona pichaza vivuko vilivyofunguliwa na jk
yale maabara ya shuleza kata yapo wapi
mbona picha mambo mengi tu umeziacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…