Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Mabashite wote wapo chama cha kijani, critical thinking imewapita kushoto.Usikute ndo wana CCM wenyewe hao
kuelewa tu shida

Thread inahusu paka akipewa nyama. Mifano yake iko nyingi tu, mbona unaikataa mingine ambayo iko obvious kama hiyo ya Lowasa? Kwani 2020 itawezekana kumnyang'anya ugombea wa urais? Si atawararua ile mbaya? Yaani mumfanyie kama mlivyofanyia Dr Slaa halafu mtegemee kuwa salama? Haiwezekani.Uwe unasoma na kuelewa
Lowassa ni mwana ccm?
thread inahusu wana ccm
Imagine paka aliyerushiwa hiyo nyama ni paka pori, mwenye chuki na kinyongo kwa paka wengine wa nyumbani halafu ndio karushiwa nyama!Katika simulizi nyingi za vituko vya viongozi wa kiafrica ...moja ya kuvutia inamhusu Charles Njonjo..wa Kenya......
Huyu mtu alikuwa na nguvu si mchezo....licha ya kuwa tu ni waziri wa sheria tu...lakini
ukaribu wake na kuaminiwa kwake na Kenyata ilisababisha awe na nguvu si kawaida..
aliogopewa......kupita hata Kenyatta....alikuwa na jeuri ya kumfungulia kesi yeyote asiempenda
Kwenye kilele chake cha 'power' inadaiwa aliwahi kumzaba vibao makamu wa Rais wakati huo
Daniel Arap Moi....na still Moi alipokuwa Rais akamteua huyu huyu Njonjo kuwa waziri
hadi alipojiuzulu kwa tuhuma za kutaka kumpindua huyo huyo Moi....
Njonio pia anatuhumiwa 'kuvunja' East Africa Community ...sababu Kenyata alikuwa
ama 'amechoka' na hana maamuzi au tu 'kampa too much power' huyu Njonjo.....
Nyerere aliwahi kunukuliwa kusema alipoenda kuongea na Kenyatta kuhusu EAC alishangaa
Kenyatta anasinzia sinzia tu na Njonjo ndo alikuwa anazungumza na kutoa maamuzi......
Sasa simulizi ya kusisimua kuliko yote ya Njonjo ni siku alipokubali makamu wa Rais Moi
aapishwe kuwa Rais baada ya Kenyatta kufariki akiamini kabisa Moi atakuwa 'Rais asie na nguvu na yeye atakuwa ndo de facto President' huku akisubiri timing tu 'awe Rais kamili'...
Baba yake mzazi Njonjo alimpa mfano mwanae Charles....kwa kuwarushia paka vipande vya nyama..
halafu akamwambia 'je unaweza kuwanyanga'nya hawa paka hivi vipande vya nyama'?
Jibu lilikuwa wazi kabisa...'haiwezekani'
Paka ukishampa nyama ndo basi tena,kumnyanga'nya sio shughuli nyepesi...lazima mkubali kuparuriwa na kujeruhiwa....
Huo ndo ukweli ......
Sasa mfano huu ndo unawakumba sasa wana CCM.....
wao waliamini mradi Rais ni mwana CCM tu mwenzao basi chama ndo kitakua na nguvu
na sauti ya mwisho.....na Rais atadhibitiwa na chama.....wao chama hata kifanyaje ni sawa
Lakini sasa tunashuhudia kumbe ni tofauti ....hata ukiwa mwana CCM unaweza
kuwa 'arrested' kwa kuwa tu na mawazo tofauti...
na kumbe mtu mmoja anaweza kufanya 'analotaka' na chama kisimfanye lolote
nidhamu ya woga ikatawala........hatimae wale waliompa Paka vipande vya nyama...
wanagundua ukweli mchungu......Paka keshakamata nyama...na mwenye ubavu wa kumnyang'anya ajitokeze...............alisema Nyerere 'Kigumu chama cha Mapinduzi'...
The once powerfull Attorney General-Charles Muigane Njonjo na kulikuwa na mwingine anaitwa Total man,mr Nicholus Biwott.Katika simulizi nyingi za vituko vya viongozi wa kiafrica ...moja ya kuvutia inamhusu Charles Njonjo..wa Kenya......
Huyu mtu alikuwa na nguvu si mchezo....licha ya kuwa tu ni waziri wa sheria tu...lakini
ukaribu wake na kuaminiwa kwake na Kenyata ilisababisha awe na nguvu si kawaida..
aliogopewa......kupita hata Kenyatta....alikuwa na jeuri ya kumfungulia kesi yeyote asiempenda
Kwenye kilele chake cha 'power' inadaiwa aliwahi kumzaba vibao makamu wa Rais wakati huo
Daniel Arap Moi....na still Moi alipokuwa Rais akamteua huyu huyu Njonjo kuwa waziri
hadi alipojiuzulu kwa tuhuma za kutaka kumpindua huyo huyo Moi....
Njonio pia anatuhumiwa 'kuvunja' East Africa Community ...sababu Kenyata alikuwa
ama 'amechoka' na hana maamuzi au tu 'kampa too much power' huyu Njonjo.....
Nyerere aliwahi kunukuliwa kusema alipoenda kuongea na Kenyatta kuhusu EAC alishangaa
Kenyatta anasinzia sinzia tu na Njonjo ndo alikuwa anazungumza na kutoa maamuzi......
Sasa simulizi ya kusisimua kuliko yote ya Njonjo ni siku alipokubali makamu wa Rais Moi
aapishwe kuwa Rais baada ya Kenyatta kufariki akiamini kabisa Moi atakuwa 'Rais asie na nguvu na yeye atakuwa ndo de facto President' huku akisubiri timing tu 'awe Rais kamili'...
Baba yake mzazi Njonjo alimpa mfano mwanae Charles....kwa kuwarushia paka vipande vya nyama..
halafu akamwambia 'je unaweza kuwanyanga'nya hawa paka hivi vipande vya nyama'?
Jibu lilikuwa wazi kabisa...'haiwezekani'
Paka ukishampa nyama ndo basi tena,kumnyanga'nya sio shughuli nyepesi...lazima mkubali kuparuriwa na kujeruhiwa....
Huo ndo ukweli ......
Sasa mfano huu ndo unawakumba sasa wana CCM.....
wao waliamini mradi Rais ni mwana CCM tu mwenzao basi chama ndo kitakua na nguvu
na sauti ya mwisho.....na Rais atadhibitiwa na chama.....wao chama hata kifanyaje ni sawa
Lakini sasa tunashuhudia kumbe ni tofauti ....hata ukiwa mwana CCM unaweza
kuwa 'arrested' kwa kuwa tu na mawazo tofauti...
na kumbe mtu mmoja anaweza kufanya 'analotaka' na chama kisimfanye lolote
nidhamu ya woga ikatawala........hatimae wale waliompa Paka vipande vya nyama...
wanagundua ukweli mchungu......Paka keshakamata nyama...na mwenye ubavu wa kumnyang'anya ajitokeze...............alisema Nyerere 'Kigumu chama cha Mapinduzi'...
Kinyago tumekichonga wenyewe na kukiweka sebuleni. Sasa kinyago hicho hicho kinatutisha. By Mskuma - Mwenyekiti wa CCM Geita.Katika simulizi nyingi za vituko vya viongozi wa kiafrica ...moja ya kuvutia inamhusu Charles Njonjo..wa Kenya......
Huyu mtu alikuwa na nguvu si mchezo....licha ya kuwa tu ni waziri wa sheria tu...lakini
ukaribu wake na kuaminiwa kwake na Kenyata ilisababisha awe na nguvu si kawaida..
aliogopewa......kupita hata Kenyatta....alikuwa na jeuri ya kumfungulia kesi yeyote asiempenda
Kwenye kilele chake cha 'power' inadaiwa aliwahi kumzaba vibao makamu wa Rais wakati huo
Daniel Arap Moi....na still Moi alipokuwa Rais akamteua huyu huyu Njonjo kuwa waziri
hadi alipojiuzulu kwa tuhuma za kutaka kumpindua huyo huyo Moi....
Njonio pia anatuhumiwa 'kuvunja' East Africa Community ...sababu Kenyata alikuwa
ama 'amechoka' na hana maamuzi au tu 'kampa too much power' huyu Njonjo.....
Nyerere aliwahi kunukuliwa kusema alipoenda kuongea na Kenyatta kuhusu EAC alishangaa
Kenyatta anasinzia sinzia tu na Njonjo ndo alikuwa anazungumza na kutoa maamuzi......
Sasa simulizi ya kusisimua kuliko yote ya Njonjo ni siku alipokubali makamu wa Rais Moi
aapishwe kuwa Rais baada ya Kenyatta kufariki akiamini kabisa Moi atakuwa 'Rais asie na nguvu na yeye atakuwa ndo de facto President' huku akisubiri timing tu 'awe Rais kamili'...
Baba yake mzazi Njonjo alimpa mfano mwanae Charles....kwa kuwarushia paka vipande vya nyama..
halafu akamwambia 'je unaweza kuwanyanga'nya hawa paka hivi vipande vya nyama'?
Jibu lilikuwa wazi kabisa...'haiwezekani'
Paka ukishampa nyama ndo basi tena,kumnyanga'nya sio shughuli nyepesi...lazima mkubali kuparuriwa na kujeruhiwa....
Huo ndo ukweli ......
Sasa mfano huu ndo unawakumba sasa wana CCM.....
wao waliamini mradi Rais ni mwana CCM tu mwenzao basi chama ndo kitakua na nguvu
na sauti ya mwisho.....na Rais atadhibitiwa na chama.....wao chama hata kifanyaje ni sawa
Lakini sasa tunashuhudia kumbe ni tofauti ....hata ukiwa mwana CCM unaweza
kuwa 'arrested' kwa kuwa tu na mawazo tofauti...
na kumbe mtu mmoja anaweza kufanya 'analotaka' na chama kisimfanye lolote
nidhamu ya woga ikatawala........hatimae wale waliompa Paka vipande vya nyama...
wanagundua ukweli mchungu......Paka keshakamata nyama...na mwenye ubavu wa kumnyang'anya ajitokeze...............alisema Nyerere 'Kigumu chama cha Mapinduzi'...
Mkuu punguza haiba ya kiitikadi, ni vema kujaribu kutumia busara ya ziada kusoma na kuelewa nn Mkuu Boss amewakilishaBasi mnyanganye hiyo nyama mumpe lowasa ambaye hata meno ya kuitafuna hana
.Si hayo tu yapo mengi.
Nakumbuka siku za mwanzo tukibishana kuhusu mwelekeo wa awamu ya tano na kinara wake. Si wengi wenye ujasiri wa kusema ulikuwa sahihi kwa sehemu kubwa wakati sisi kwa lugha ya mitaani "tulibugi". Faraja yangu pekee ni kusema nothing is cast in stone.
Mzee Mwanakijiji kaziita "distractions" za JPM. Hamna kitu kama hicho. Limeishavunda. Tukubali ukweli. Tulichofikiria imekuwa tofauti kabisa.
The man has become the LAW onto himself. Yeye kawa mahakama na Bunge pia. Report ya CAG mwaka huu, italeta sunami. Wizara kutumia 200% ya budget yake!