Hakuna anayebisha kwamba CCM ni chama Dola. kinachoongelewa hapa, kwa taarifa, na kwa lugha rahisi, ni kwamba huyo jamaa aliyeshika usukani wa hilo CHAMA DOLA, anawashughulikia wanaccm kwa kutumia hiyo hiyo DOLA, na hawana cha kumfanya. yaani kinachoonekana sasa hivi ni kwamba kumbe hili chama dola linakata kila upande, linakula hata watoto wake. naona limeshatoka kwenye uchama dola, limekuwa CHUNUSIMtamaliza misemo na mneno yote muyajuayo Dunia hii, lkn CCM ni Chama Dola, kuna sababu kwa nini kinaitwa hivyo, na itabakia hivyo!
Hakuna anayebisha kwamba CCM ni chama Dola. kinachoongelewa hapa, kwa taarifa, na kwa lugha rahisi, ni kwamba huyo jamaa aliyeshika usukani wa hilo CHAMA DOLA, anawashughulikia wanaccm kwa kutumia hiyo hiyo DOLA, na hawana cha kumfanya. yaani kinachoonekana sasa hivi ni kwamba kumbe hili chama dola linakata kila upande, linakula hata watoto wake. naona limeshatoka kwenye uchama dola, limekuwa CHUNUSI

Umenikumbusha Al-Maarufu Charles Njonjo.
Charles Njonjo alikuwa na suti zake matata sana za Savile Row, mtaa wa kushonesha suti za bei mbaya kabisa hapo London.
Suti maalum za kushonesha ilikuwa ukiziangalia kwa karibu sana unaona zimepigwa chata ya jina lake "Charles Njonjo".
Nyerere alikuwa haachi kumuona kituko.
Katika simulizi nyingi za vituko vya viongozi wa kiafrica ...moja ya kuvutia inamhusu Charles Njonjo..wa Kenya......
Huyu mtu alikuwa na nguvu si mchezo....licha ya kuwa tu ni waziri wa sheria tu...lakini
ukaribu wake na kuaminiwa kwake na Kenyata ilisababisha awe na nguvu si kawaida..
aliogopewa......kupita hata Kenyatta....alikuwa na jeuri ya kumfungulia kesi yeyote asiempenda
Kwenye kilele chake cha 'power' inadaiwa aliwahi kumzaba vibao makamu wa Rais wakati huo
Daniel Arap Moi....na still Moi alipokuwa Rais akamteua huyu huyu Njonjo kuwa waziri
hadi alipojiuzulu kwa tuhuma za kutaka kumpindua huyo huyo Moi....
Njonio pia anatuhumiwa 'kuvunja' East Africa Community ...sababu Kenyata alikuwa
ama 'amechoka' na hana maamuzi au tu 'kampa too much power' huyu Njonjo.....
Nyerere aliwahi kunukuliwa kusema alipoenda kuongea na Kenyatta kuhusu EAC alishangaa
Kenyatta anasinzia sinzia tu na Njonjo ndo alikuwa anazungumza na kutoa maamuzi......
Sasa simulizi ya kusisimua kuliko yote ya Njonjo ni siku alipokubali makamu wa Rais Moi
aapishwe kuwa Rais baada ya Kenyatta kufariki akiamini kabisa Moi atakuwa 'Rais asie na nguvu na yeye atakuwa ndo de facto President' huku akisubiri timing tu 'awe Rais kamili'...
Baba yake mzazi Njonjo alimpa mfano mwanae Charles....kwa kuwarushia paka vipande vya nyama..
halafu akamwambia 'je unaweza kuwanyanga'nya hawa paka hivi vipande vya nyama'?
Jibu lilikuwa wazi kabisa...'haiwezekani'
Paka ukishampa nyama ndo basi tena,kumnyanga'nya sio shughuli nyepesi...lazima mkubali kuparuriwa na kujeruhiwa....
Huo ndo ukweli ......
Sasa mfano huu ndo unawakumba sasa wana CCM.....
wao waliamini mradi Rais ni mwana CCM tu mwenzao basi chama ndo kitakua na nguvu
na sauti ya mwisho.....na Rais atadhibitiwa na chama.....wao chama hata kifanyaje ni sawa
Lakini sasa tunashuhudia kumbe ni tofauti ....hata ukiwa mwana CCM unaweza
kuwa 'arrested' kwa kuwa tu na mawazo tofauti...
na kumbe mtu mmoja anaweza kufanya 'analotaka' na chama kisimfanye lolote
nidhamu ya woga ikatawala........hatimae wale waliompa Paka vipande vya nyama...
wanagundua ukweli mchungu......Paka keshakamata nyama...na mwenye ubavu wa kumnyang'anya ajitokeze...............alisema Nyerere 'Kigumu chama cha Mapinduzi'...
Mkuu The Boss, heshima mbele! Yaani umenikumbusha mbali sana kuhusu huyu jamaa Charles Njonjo. mimi nakumbuka ile story aliyosema kwamba hawezi kupanda ndege ambayo pilot wake ni mtu mweusi, yeye anataka Pilot mzungu tu!
Umenena haswa, kwamba Paka ukishampa nyama tu, urafiki umekwisha, mpaka amalize kula hiyo nyama, ndio atakutazama kwa matumaini na unyenyekevu. Ila hii haiwahusu CCM tu, inatuhusu watanzania wote. Najaribu kujiuliza, hivi Magufuli atakapoanza kupiga kampeni ya kuomba awamu ya pili, atapiga tena pushup? maana sasa hivi ameshika nyama, anaunguruma tu kwa ukali. ikiisha nyama atakuwa mpole?
Kwa hiyo tuseme Makonda ndiyo Tanzanian version ya Charles Njonjo? atapungukiwa kwenye elimu. ila hayo makeke, hashindwi hata kumzaba kibao nanihii...Magufuli anatoa maswali ya kila aina
maswali kwa watanzania..
maswali kwa wana CCM
maswali kwa katiba tuliyonayo
maswali kwa wasomi na kadhalika
Sikutegemea mtu kama Ayubu Rioba kupokea 'amri na maagizo' kutoka kwa mtu kama Paul Makonda
but it is happening.....
mkuu the Boss shikamoo,Hua natulia Sana naposoma bandiko lako. Hapa Lumumba hutowaona kabisaaa. Labda wajemjinga mpe sifa...
Wewe ni LICHADEMA tu, CCM hatuna Mawazo ya Ovyo Ovyo kama hayo, M/kiti wetu Taifa hana ubaguzi, hana uonevu, hana chuki na mwanachama yeyote, Kumbuka Li-Mbowe lenu si lilibadiri hadi Katiba ili litawale milele baada ya kuondoa kile kifungu cha kuongoza miaka mitano mitano na ikifikia 10, basi kiongozi huyo haruhusiwi tena kugombea hata kama atakuwa anapendwa kiasi gani. Lakini yeye kutokana na Uroho wa madaraka na Udikiteta alikiondoa. Sasa Leo wewe badala ya kuongelea tatizo hili kubwa, unahangaika na CCM. Anyway, hangaika ili utimize ushahidi wa malipo yako.Katika simulizi nyingi za vituko vya viongozi wa kiafrica ...moja ya kuvutia inamhusu Charles Njonjo..wa Kenya......
Huyu mtu alikuwa na nguvu si mchezo....licha ya kuwa tu ni waziri wa sheria tu...lakini
ukaribu wake na kuaminiwa kwake na Kenyata ilisababisha awe na nguvu si kawaida..
aliogopewa......kupita hata Kenyatta....alikuwa na jeuri ya kumfungulia kesi yeyote asiempenda
Kwenye kilele chake cha 'power' inadaiwa aliwahi kumzaba vibao makamu wa Rais wakati huo
Daniel Arap Moi....na still Moi alipokuwa Rais akamteua huyu huyu Njonjo kuwa waziri
hadi alipojiuzulu kwa tuhuma za kutaka kumpindua huyo huyo Moi....
Njonio pia anatuhumiwa 'kuvunja' East Africa Community ...sababu Kenyata alikuwa
ama 'amechoka' na hana maamuzi au tu 'kampa too much power' huyu Njonjo.....
Nyerere aliwahi kunukuliwa kusema alipoenda kuongea na Kenyatta kuhusu EAC alishangaa
Kenyatta anasinzia sinzia tu na Njonjo ndo alikuwa anazungumza na kutoa maamuzi......
Sasa simulizi ya kusisimua kuliko yote ya Njonjo ni siku alipokubali makamu wa Rais Moi
aapishwe kuwa Rais baada ya Kenyatta kufariki akiamini kabisa Moi atakuwa 'Rais asie na nguvu na yeye atakuwa ndo de facto President' huku akisubiri timing tu 'awe Rais kamili'...
Baba yake mzazi Njonjo alimpa mfano mwanae Charles....kwa kuwarushia paka vipande vya nyama..
halafu akamwambia 'je unaweza kuwanyanga'nya hawa paka hivi vipande vya nyama'?
Jibu lilikuwa wazi kabisa...'haiwezekani'
Paka ukishampa nyama ndo basi tena,kumnyanga'nya sio shughuli nyepesi...lazima mkubali kuparuriwa na kujeruhiwa....
Huo ndo ukweli ......
Sasa mfano huu ndo unawakumba sasa wana CCM.....
wao waliamini mradi Rais ni mwana CCM tu mwenzao basi chama ndo kitakua na nguvu
na sauti ya mwisho.....na Rais atadhibitiwa na chama.....wao chama hata kifanyaje ni sawa
Lakini sasa tunashuhudia kumbe ni tofauti ....hata ukiwa mwana CCM unaweza
kuwa 'arrested' kwa kuwa tu na mawazo tofauti...
na kumbe mtu mmoja anaweza kufanya 'analotaka' na chama kisimfanye lolote
nidhamu ya woga ikatawala........hatimae wale waliompa Paka vipande vya nyama...
wanagundua ukweli mchungu......Paka keshakamata nyama...na mwenye ubavu wa kumnyang'anya ajitokeze...............alisema Nyerere 'Kigumu chama cha Mapinduzi'...
Katika simulizi nyingi za vituko vya viongozi wa kiafrica ...moja ya kuvutia inamhusu Charles Njonjo..wa Kenya......
Huyu mtu alikuwa na nguvu si mchezo....licha ya kuwa tu ni waziri wa sheria tu...lakini
ukaribu wake na kuaminiwa kwake na Kenyata ilisababisha awe na nguvu si kawaida..
aliogopewa......kupita hata Kenyatta....alikuwa na jeuri ya kumfungulia kesi yeyote asiempenda
Kwenye kilele chake cha 'power' inadaiwa aliwahi kumzaba vibao makamu wa Rais wakati huo
Daniel Arap Moi....na still Moi alipokuwa Rais akamteua huyu huyu Njonjo kuwa waziri
hadi alipojiuzulu kwa tuhuma za kutaka kumpindua huyo huyo Moi....
Njonio pia anatuhumiwa 'kuvunja' East Africa Community ...sababu Kenyata alikuwa
ama 'amechoka' na hana maamuzi au tu 'kampa too much power' huyu Njonjo.....
Nyerere aliwahi kunukuliwa kusema alipoenda kuongea na Kenyatta kuhusu EAC alishangaa
Kenyatta anasinzia sinzia tu na Njonjo ndo alikuwa anazungumza na kutoa maamuzi......
Sasa simulizi ya kusisimua kuliko yote ya Njonjo ni siku alipokubali makamu wa Rais Moi
aapishwe kuwa Rais baada ya Kenyatta kufariki akiamini kabisa Moi atakuwa 'Rais asie na nguvu na yeye atakuwa ndo de facto President' huku akisubiri timing tu 'awe Rais kamili'...
Baba yake mzazi Njonjo alimpa mfano mwanae Charles....kwa kuwarushia paka vipande vya nyama..
halafu akamwambia 'je unaweza kuwanyanga'nya hawa paka hivi vipande vya nyama'?
Jibu lilikuwa wazi kabisa...'haiwezekani'
Paka ukishampa nyama ndo basi tena,kumnyanga'nya sio shughuli nyepesi...lazima mkubali kuparuriwa na kujeruhiwa....
Huo ndo ukweli ......
Sasa mfano huu ndo unawakumba sasa wana CCM.....
wao waliamini mradi Rais ni mwana CCM tu mwenzao basi chama ndo kitakua na nguvu
na sauti ya mwisho.....na Rais atadhibitiwa na chama.....wao chama hata kifanyaje ni sawa
Lakini sasa tunashuhudia kumbe ni tofauti ....hata ukiwa mwana CCM unaweza
kuwa 'arrested' kwa kuwa tu na mawazo tofauti...
na kumbe mtu mmoja anaweza kufanya 'analotaka' na chama kisimfanye lolote
nidhamu ya woga ikatawala........hatimae wale waliompa Paka vipande vya nyama...
wanagundua ukweli mchungu......Paka keshakamata nyama...na mwenye ubavu wa kumnyang'anya ajitokeze...............alisema Nyerere 'Kigumu chama cha Mapinduzi'...
Napenda style yake ya kudubiria. Anakali chini kwa utulivu huku miguu yake ya mbele kaiweka tayari kudaka anachorushiwaPaka anakuwaga mnyonge sana pale anaposubiri umrushie kipande cha nyama
sasa ukismrushia nenda jaribu kumnyang'anya ndo utamjua vizuri
Si hayo tu yapo mengi.Magufuli anatoa maswali ya kila aina