Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,062
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.
Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.
Source: News, TBC1
Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.
Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?
sasa kama wengine wanauliwa kwa nini wasijihami? watu wakijua tukifanya tutafanyiwa hapo tutaheshimiana. lazima kila mmoja aone mwenzake anahaki ya kuwa hai na salama. NA HIYO NDO AMANI YA KWELI.Sasa Tanganyika si mahali tena salama kwa kuishi. hizi ndo siasa za majitaka.
Sidhani kama uchaguzi wa 2015 utakua salama kama kauli hii haikufutwa.
sasa kama wengine wanauliwa kwa nini wasijihami? watu wakijua tukifanya tutafanyiwa hapo tutaheshimiana. lazima kila mmoja aone mwenzake anahaki ya kuwa hai na salama. NA HIYO NDO AMANI YA KWELI.
sasa kama wengine wanauliwa kwa nini wasijihami? watu wakijua tukifanya tutafanyiwa hapo tutaheshimiana. lazima kila mmoja aone mwenzake anahaki ya kuwa hai na salama. NA HIYO NDO AMANI YA KWELI.
alikuwa ana MAANISHA KAMA NOMA NA IWE NOMAAmeyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama. Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu. Source: News, TBC1 Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini. Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?
statement yangu haikutaja chama. its two tailed.Hiki ulichokiandika ndio kilichazipata nchi zilizokumbwa na machafuko. Kama kweli tunaangalia uhalisia CDM ndio waliotakiwa kutamka kuwa waachane na unyonge kwani wamekumbwa na matukio mengi yaliyoua na kuwaacha wengine vilema lakini wamekuwa wavumilivu hadi sasa.
Nini kazi ya polisi?Nini kazi ya mahakama?Ni lazima watu wajifunze kuheshimu vyombo hivi la sivyo mbadala wa ulinzi na usalama utakuwa mikononi mwa wanachama wa vyama vya siasa!
Kama mtu unaongoza majeshi ambayo yanaongozwa na serikali ya CCM,wengi wa viongozi wa majeshi hayo walichaguliwa kwa kuwa walimiliki kadi za chama,je kwa kauli kama hizi dhidi ya chama ambacho hakina hata sungusungu,tutegemee nini?
Siyo viongozi wote wanafaa kuwa MARAIS ,wengine wanapaswa wawe ma-MC kwenye sherehe za harusi!