Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Kiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,102
Reaction score
910
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.

Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.

Source: News, TBC1

Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.

Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?
 
Hii ni hali ya kutojielea kua yuko position gani katika nchi hii. Kwa hakika kiongozi wetu huyu kachoka akapumzike kwa sasa maana hii ni kama kuidhinisha watu wauane.
 
Hata mimi sikuamini masiko yangu kama kiongozi wetu wa nchi ndio katoa kauli hiyo, ukichanganya na ile ya Pinda kwa Polisi, basi tunasubili vita kati ya Green guard + Polisi na Red guard + Wananchi.
 
Hii ni hali ya kutojielea kua yuko position gani katika nchi hii. Kwa hakika kiongozi wetu huyu kachoka akapumzike kwa sasa maana hii ni kama kuidhinisha watu wauane.
Nimeshangaa kauli yake hebu kila mtu mwenye dini na asiye na dini aombe kama dakika kumi kwa ajili ya kiongozi huyu mkuu wa chama.Nahisi zile damu zimeanza kuwachanganya watu ndo sababu wengine wanakimbilia Nigeria.Jamani hii ni hatari!!!
 
Mi mwenyewe nimeshangaa sana kwa kauli hii,,, sipati picha huko Kalenga hali itakuaje,,,
 
Unyonge unatokana na kutokubalika kwa wananchi au
 
Hii ni hali ya kutojielea kua yuko position gani katika nchi hii. Kwa hakika kiongozi wetu huyu kachoka akapumzike kwa sasa maana hii ni kama kuidhinisha watu wauane.

kiukweli kasahau kabisa kama yeye ndiye kiongozi mkubwa kabisa wa hii nchi. kauli yake ndio kauli kuu ya nchi. sasa yeye anaposema hayo kwakweli nimeshindwa kabisa kumuelewa
 
Hata mimi sikuamini masiko yangu kama kiongozi wetu wa nchi ndio katoa kauli hiyo, ukichanganya na ile ya Pinda kwa Polisi, basi tunasubili vita kati ya Green guard + Polisi na Red guard + Wananchi.

tufunge macho tusali
 
Nimeshangaa kauli yake hebu kila mtu mwenye dini na asiye na dini aombe kama dakika kumi kwa ajili ya kiongozi huyu mkuu wa chama.Nahisi zile damu zimeanza kuwachanganya watu ndo sababu wengine wanakimbilia Nigeria.Jamani hii ni hatari!!!

kwa hali hii kweli maombi yanahitajika
 
Mi mwenyewe nimeshangaa sana kwa kauli hii,,, sipati picha huko Kalenga hali itakuaje,,,

Aise ata mimi imenishangaza .aise huyu presda .uzee umemjia ghafla .2015 ifike haraka tuachane nae ingali salama .yuko kama anaongoza timu ya mpira .tukifungwa goli la umasikini .analalamika .goli la ufisadi analalamika .goli tembo wanaisha analalamika .goli ya timu yake safari kudhibitiwa kufanya fujo kwa kufanyiwa nayo .analalamika .nakuanza kuwajenge kwa saikolojia chafu ya kuondoa unyonge .maanake nini ?.maana ccm kwa fujo ndio wenyewe .sasa wakiondoka hapo kwenye unyonge wakupiga .sianawaambia waue sasa .,
 
Kwakweli sikuamini niliyoyasikia kutoka kwa kiongozi wa nchi. Nadhani haelewi madhara ya kauli yake au ameamua kwa makusudi kuchafua amani ya nchi kwani yeye anajua atakako kimbilia. Kwani hajui kama nguvu zote za nchi hii anazo mikononi mwake , ikiwa ni pamoja na majeshi kwanini asiamuru jeshi liongeze ulinzi badala yake anawaagiza waache unyonge. Na nadhani ile shangwe ililipuka pale mara baada ya kauli sasa tujiandae, hamna amani tena. Mzee kaisha tangaza rasmi.
 
Ameidhinisha piga nikupige jino kwa jino
Bila kufuata tatatibu za kisheria
Anaungana sasa na waziri mkuu aliyesema "utapigwa tu"
Ni kiashirio kwamba uchaguzi ujao kutakuwa na vipigo kwa sababu kibali kuacha unyonge kimetolewa rasmi.
 
Kwa kauli kama hizi, tutarajie Tanzania kuingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe 2015.
 
Hata mimi sikuamini masiko yangu kama kiongozi wetu wa nchi ndio katoa kauli hiyo, ukichanganya na ile ya Pinda kwa Polisi, basi tunasubili vita kati ya Green guard + Polisi na Red guard + Wananchi.

Vurugu imeidhinishwa rasmi so ukitolewa jino ukiwa kwenye kampeni ujue ni utaratibu rasmi
 
Kwa kweli sijaamini, nikataka kuuliza humu jamvini. Ile nafungua JF tu.... He! Nakuta mada hii. Ee MUNGU tusaidie. Raisi JK anahamasisha mapigano, kisa uchaguzi?
 
Kwani hiyo kauli ina tofauti gani na ile ya mzee wa kulialia?: "wapigwe tu"
 
Sikuwa karibu na Runinga, ila nilipofika nyumbani binti yangu akanieleza hakumuelewa Kikwete na kauli yake. Nikamuuliza kauli gani? Akaniambia amewambia ccm waache unyonge! wasitishwe na wapinzani, wagombee nafasi yoyote wanayotaka'.

Hii nchi JK haiachi salama, take my word! Nilishasema sisem wako tayari kua ilimradi wasalie madarakani. Hii haikubaliki. CDM nendeni jimbo la kalenga bila uoga. Wambie tume ya uchaguzi kuboresha daftari. Wambie polisi wasithubutu kulinda waiba kura, wasithubutu kuingilia kampeni za uchaguzi huo. Waandaeni green guard kulinda kura za wapiga kura. Nchi hii yetu sote....hakuna mwenye hati miliki ya uongozi. Ni box la kura linalohamua nani awe nani. si polisi, si jk, si mahakama. Ccm acheni haki ndiye awe mtawala.
 
Back
Top Bottom