Wana CCM 3,500 wahamia CHADEMA huko Sengerema

Wana CCM 3,500 wahamia CHADEMA huko Sengerema

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
1,147
Reaction score
513
Akihutubia Dr. Slaa na kuwashangaa wabunge wa CCM kwa unafiki wao hasa wanapopiga kelele lakini amesema waliotia saini kwa ZITTO ni 7 tu.
watu wamejiunga Chadema na kutupa kofia na nguo za CCM.

Kiukweli CCM hawana chao tena hapa nchini kuanzia 2015 kwa aliyeona ile habari awe shahidi mwema.

SOURCE: ITV HABARI USIKU Tarehe 22.04.2012
 
....Wimbi la kuitema magamba linaongezeka kwa kasi ya kutisha na kumaliza kabisa ndoto ya magamba kwamba, "CCM itatawala Tanzania milele." Hongera CDM kwa juhudi zenu kubwa za kuwafungua macho Watanzania kuhusu udhalimu mkubwa unaofanywa na magamba dhidi ya nchi yetu.
 
Akihutubia Dr. Slaa na kuwashangaa wabunge wa CCM kwa unafiki wao hasa wanapopiga kelele lakini amesema waliotia saini kwa ZITTO ni 7 tu.
watu wamejiunga Chadema na kutupa kofia na nguo za CCM.

SOURCE: ITV HABARI USIKU HUU

Ndio maana wamekata umeme tusione eeeh,watashangaa sana na sasa mpaka wake zao watahama. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeees mkuchika malizia hii,sema poweeeeeeeeeeer
 
Akihutubia Dr. Slaa na kuwashangaa wabunge wa CCM kwa unafiki wao hasa wanapopiga kelele lakini amesema waliotia saini kwa ZITTO ni 7 tu.
watu wamejiunga Chadema na kutupa kofia na nguo za CCM.

SOURCE: ITV HABARI USIKU HUU

bado hatujaanza.
 
Nimeona wananchi wanavua tisheti na kofia za njano na kijani za magamba na kuzirusha pale mbele zikachomwe moto........
CCM siku zao za kutawala zinahesabika wakuu....
 
Hii ni ishara tosha kuwa wananchi wamechoshwa na serikali mbovu ya CCM iliyojaa wadhalimu na mafisadi.... M4C! Nguvu Ya Umma.... CHADEMA MWENDO MDUNDO..!!
 
Nimeona wananchi wanavua tisheti na kofia za njano na kijani za magamba na kuzirusha pale mbele zikachomwe moto........
CCM siku zao za kutawala zinahesabika wakuu....

Niliona mkuu tena watu wanang'ang'aniana sana kupeleka kadi zatmagamba na kupeleka kofia na utitili wote wa CCM Ukachomwe moto.
Burudani sana.
 
Hao walikuwa wamepewa wiki moja tu ya kulipa madeni yao au kufukuzwa ndani ya chama kwa7bu ya kutolipia kadi za uwanachama kwa miaka 6 kwa hivyo wametupunguzia mzigo.

source: Nape, Dodoma.
 
Nape hebu fanya sensa ya wanachama maana toka wimbi limeanza ni kama kila mtu anahamia CDM toka ccm. Umebakia wewe tu ambaye ccm ni baba na mama yako.
 
Na bado m4c ikiamia pwani mzee mkubwa wa magogoni nae atarudisha kadi
 
Bravo Chadema, ndo mkombozi wetu. Magamba yatavuka mwaka, Sipati picha, Pale Waziri mkuu atakapovuliwa gamba. Big up. Mungu yuko upande wetu. Peopleeeeeeeeeeees Power!!!!!
 
Back
Top Bottom