Tonykp
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 1,642
- 680
Huyu mgeni matatizo? aka mie sikaribishi mamluki
Nyie mnajuana nina wasiwasi
Huyu mgeni matatizo? aka mie sikaribishi mamluki
Bebii nilijua kale ka ndoa ketu ndio umekatupilia mbali ivo.....naavache
Nyie mnajuana nina wasiwasi
Mbona unavaibreti maungo hivyo!...hebu andika maneno vizuri
Ndio mie MBN, mwingine fotocopy....mafuta yangu ni samli, nywele zangu kipilipili kama unavyokiona hapo, kitu nature
Huyu mgeni matatizo? aka mie sikaribishi mamluki
Khaa spidi aloingia nayo break kwa MBN, mwambie amwambie alomtuma hajankuta kabisa
Ungeni uliza kabila yangu kwanza.....
unamruka? ngoja na mimi nijaribu
MBN naomba kampani yako...
Hahaha alafu wewe kaa chini kwanza niache niongee na mgeni khaaa!! hutulii chumbani hadi uje sebuleni?
unadhani utakuwa na kabila jingine zaidi ya Umatumbi...
Mbona ze thoo kold mgeni atajuta kuifahamu hii familia??
Hizo conversation zenu nitatulia kweli chumbani?
Ndio mie MBN, mwingine fotocopy....mafuta yangu ni samli, nywele zangu kipilipili kama unavyokiona hapo, kitu nature
Powa kama utakubali kuwa wa 100th kwenye list ya kampani
Watu kama hawa mwanzoni nilikiwa nawanyofoa vifanyio halafu navihamishia shingoni...
hapana wala sikubali...
Amekuita akupatie dada yake wa kiarabu na wewe umpatie yule kaka yako ole milya
Usichokubali nini sasa, kuwa wa 100 kwenye list ya wanakampani au kukosa kabisa namba??
Hahaha atakuwa kama lile kabila la Mrs babu hahaha