wana cc wanaoishi Lindi

wana cc wanaoishi Lindi

Yule mtu alianza kama wewe akajikuta anapapenda hataki kuondoka, walishataka kumrudisha wizarani akakataa, lindi rahaaaaa

kweli pale wapo wawili wakongwe ofisi nzima wao ndo wanastori zote na wote hawataki kuondoka huku kuzuri kutafutia vyeo na kuwekeza wenzangu walinishangaa kukubali kuamia huku ila mi niliona mbali dar mizinguo na vimishahara vyetu hivi
 
Hahahah yule ndio JD LK4 bwana, mjini mipango
 
hawazeeki kwa kweli...

mjini si mchezo mi nataka mambo ya kutafuta hela ya kula na usafiri basi mi nataka zaidi ya hapo..

Sijajua ila naweza pita kipande hiko kuunga tela as ni swala la maisha (ila sio lazima hapo ni kwa jirani njomba nchumali)
 
nipo mjini hapa hapa ukifika mitaa ya bwalo la polisi umenikuta ni jairani na home

Okay nitakutafuta siku nikitia timu mitaa hiyo, mitaa ya Santolin ndio huwa najipumzishaga nyakati za jioni nikiwaga huko...
 
Sijajua ila naweza pita kipande hiko kuunga tela as ni swala la maisha (ila sio lazima hapo ni kwa jirani njomba nchumali)

kwelikambi popote,

ukiwa jrani na njomba nchumali si ndo dili full ma back up
 
Back
Top Bottom