Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Rafiki wa rafiki yako kumbe iko mutu moja....technically ulikuwa unachat na mtu mmoja mwenye ID mbili teh teh!!!
Majanga juu ya majanga.....yewomiiiiiii, rafiki yupi huyo??
Rafiki wa rafiki yako kumbe iko mutu moja....technically ulikuwa unachat na mtu mmoja mwenye ID mbili teh teh!!!
Majanga juu ya majanga.....yewomiiiiiii, rafiki yupi huyo??
Hahahah meneja wako wa kampeni za kukusaidia unyakue taji la Miss Avatar...
natumia simu so ngumu kupitia thread nzima.
go to ya inbox sis...
Speechless n speech-more
Mie nataka uwe speechless...hahaha!!!
Waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba, na answali sunna hujuana kwa suruali fupi fupi hahahaha, usomage na signature yangu
Hahaha hii mpya sikuwa nimeiona...niliizoea ile ya mwanzo ya "Mungu kwetu sisi...."
Kuna jirani yangu mmoja aliniambia ameanzisha ligi daraja la 3 ila hana wachezaji, nikamshangaa sana ndo wazo la kuwa na signature ya namna hii lilipokuja.
Uliipata hiyo eehh? kitu saa kumi na mbili mzee akajikuta anashangaa pwani haha