Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Nao watafutwe na polisi
Ukiona manyoya.........
![]()
na hivo hadi muuza karanga ana 'mawasiliano ipo kaz :cell:
Jamani naombeni na mimi nisitafutwe na polisi kwa kumkashifu muheshimiwa naomba tu kuuliza "HIVI HUYU MAMA AMEOLEWA???"
Kwa hiyo mkuu yawezekana zile namba za simu zilizogawiwa kwa raia watu watakua washaanza kutupia maneno mawili matatu kutest "zali"??mkuu watu hawajiolei hovyohovyo. she is single and hunting.
Single and availabale!Jamani naombeni na mimi nisitafutwe na polisi kwa kumkashifu muheshimiwa naomba tu kuuliza "HIVI HUYU MAMA AMEOLEWA???"
Single and availabale!
Kwa hiyo mkuu yawezekana zile namba za simu zilizogawiwa kwa raia watu watakua washaanza kutupia maneno mawili matatu kutest "zali"??
Wana-cartoon na Madame Makinda na Magwanda!
atakayethubutu kutupia neno la namna iyo atakuwa ni devil himself, hakuna kwanadamu wa kawaida anayeweza thubutu tamani kitu ya design ile.