Wana bodi nakuja Bongo sitaki kupanga wala kuishi guest ajili ya kubana matumizi nahitaji Mobile house, kwa bei nzuri zinapatikana wapi DSM

Mkuu kama unaongelea zile tent bei yake sio ya kitoto,andaa 5000 dollars hadi kukamilika.
Sioni sababu ya wewe kukwepa gharama ya lodge ya elfu 20 kisha uje kupata hasara ya pesa nyingi.
Wana bodi nakuja Bongo sitaki kupanga wala kuishi guest ajili ya kubana matumizi nahitaji Mobile house, kwa bei nzuri zinapatikana wapi DSM, nahitaji hicho kitu Kiwanja kiko salasala
 
Mkuu kama unaongelea zile tent bei yake sio ya kitoto,andaa 5000 dollars hadi kukamilika.
Sioni sababu ya wewe kukwepa gharama ya lodge ya elfu 20 kisha uje kupata hasara ya pesa nyingi.
Asante Mkuu, nina maana ya caravan Mobile home trailers, nina taka moja tu, maarufu South Africa thaba ichu! km Caravan,
Opera Snapshot_2020-09-12_130044_www.google.com.png
 
Nunua trailer utengeneze yako..simpo..ila kuikuta mtu anauza bongo ..hapana .huwez pata..tena unanunua kontena zile kubwa za 20 ft fund anakudesignia kitu safi kabisa
Poa baba conteiner ntapata wapi Bongo, na pia hii cont. ya ft 20 inaweza kuwa bei gani kwa mahesabu ya harka?
 
Back
Top Bottom