Wana bodi nakuja Bongo sitaki kupanga wala kuishi guest ajili ya kubana matumizi nahitaji Mobile house, kwa bei nzuri zinapatikana wapi DSM

Asante Mkuu, nina maana ya caravan Mobile home trailers, nina taka moja tu, maarufu South Africa thaba ichu! km Caravan, View attachment 1567390
HIi hupati na sidhani kama watakuruhusu uipitishe kwenye barabara yetu. Na Mkuu hivi vidude mbona uwa ninaona bei sana maana uwa nafuatilia little house live large, unakuta vinaanzia $40,000
 
Gharama yake ikoje mkuu
Gharama ni makubaliano kulingana na ubora wake kwa sababu zingine zimechakaa kidogo, mfano hazina Matairi itabidi uweke, Jiko hakuna inabidi ununue mitungi na kurekebisha system ya Gas ya kupikia, au ina chumba tu na sebure, shower mbovu nk, bei ni ndogo na ya vyumba 3,ni bei kubwa, hata Million 30. inafika ni za kimarekani hizi unaweza fungua na kufunga ajili ya kupanua vyumba ni size ya Lorry dogo, Multi purposes. but kwa kubahatisha kwenye show room,

Au sometimes Balozi za USA, D.mark nk huwa wana minada ya vitu vyao, jitahidi kujua siku na tarehe za minada hiyo na hudhuria, wafanya biashara hununua na kuzibadilisha wanafanya gari za biashara. hapa kiukweli unaweza pata karibu na bure tena nzurii, wa TZ wengi sijui hawapendi au hawajui.

Kingine unaweza kuwaambia waagiza magari kuwa una taka Caravan/ Mobile house ya aina gani, watakwambia Bei, sana Million 2, hizi ndogo. South Africa ziko nyingi sana na nzuri, unaweza hata kufanya ka mgahawa kadogo, hizi ni rahisi sana kupata kwenye ma -estate ya wazungu huko south km unaendaga. nitakuwekea kapicha uone!
 
Sasa kuimodify mpaka iwe vzuri nikama ngap?
 
Ile ni nyumba hasaaa! unaweza ukaishi hivo hvo kibongo bongo, mambo yakawa mazuri tu, ukatumia choo na bafu vya nje, ila ukitaka shower za ndani, choo, jiko, Baba mpunga si haba, utaagiza sofa nzuri maalum, za kichina au Dubai ambazo hubadilika na kuwa km kitanda. ukipata ya kibajaji gharama iko juu sababu unaweza ibadilisha ukafanyia biashara ukitaka.
 
Gharama ni makubaliano kulingana na ubora wake kwa sababu zingine zimechakaa kidogo, mfano hazina Matairi itabidi uweke, Jiko hakuna inabidi ununue mitungi na kurekebisha system ya Gas ya kupikia, au ina chumba tu na sebure, shower mbovu nk, bei ni ndogo na ya vyumba 3,ni bei kubwa, hata Million 30. inafika ni za kimarekani hizi unaweza fungua na kufunga ajili ya kupanua vyumba ni size ya Lorry dogo, Multi purposes. but kwa kubahatisha kwenye show room,

Au sometimes Balozi za USA, D.mark nk huwa wana minada ya vitu vyao, jitahidi kujua siku na tarehe za minada hiyo na hudhuria, wafanya biashara hununua na kuzibadilisha wanafanya gari za biashara. hapa kiukweli unaweza pata karibu na bure tena nzurii, wa TZ wengi sijui hawapendi au hawajui.

Kingine unaweza kuwaambia waagiza magari kuwa una taka Caravan/ Mobile house ya aina gani, watakwambia Bei, sana Million 2, hizi ndogo. South Africa ziko nyingi sana na nzuri, unaweza hata kufanya ka mgahawa kadogo, hizi ni rahisi sana kupata kwenye ma -estate ya wazungu huko south km unaendaga. nitakuwekea kapicha uone!
Asante sana Pichukodada barikiwa 🙏
 
Sasa kuimodify mpaka iwe vzuri nikama ngap?
utaipenda.png
kama hii k ni bei zaidi ya bajaji
 
Back
Top Bottom