wana BAF Mzumbe waliokosa room za chuo pitia hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana BAF Mzumbe waliokosa room za chuo pitia hapa.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by R31, Oct 9, 2012.

 1. R

  R31 Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lengo ni kuweza kujuana mapema ili tuchukue hatua kama kutafuta hostel,tukifaamiana mapema na tukiwa pamoja hostel itatusaidia sana kimasoma,kama interested na ni mwana BAF nitext kwa namba hii tufanye mipango 0778886787.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hvi mzumbe wameishafungua?
   
 3. R

  R31 Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kijana bado ila wameshatoa accomodation allocations,so kama umekosa jipange.
   
 4. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa mliokosa vyumba nitafuteni!!! 0712 787161
   
 5. H

  Humanature Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi ni miongoni mwa wanafunzi wa hapo mzumbe vilevile nimekosa hostel!nilikuwa nataka kujua vipi hakuna maeneo ya karibu ambayo mtu anaweza kupata chumba cha kupanga.kama kinapatikana tuwasiliane kupitia no 0764056006
   
 6. dodoso33

  dodoso33 Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daah hata mimi kaka nimekosa room na ni baf vile vile
   
Loading...