Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Wote tunafahamu matatizo waliyonayo wana arumeru ambao kwa muda mwingi mbunge wao nassary amekuwa kando kuyashughulikia.
Leo hii amejivua ubunge bila ya kuacha kitu chochote cha kimaendeleo ktk jimbo lake. Na yawezekana atapitia mlango wa nyuma pia na hatimaye kurudi jimboni.
Ukiangalia gharama za uchaguzi mara nyingi zimekuwa kubwa sanaa ambazo zinaweza kujenga vituo vya afya na zahanati na hata shule vitu ambavyo bila shaka ninyi wana arumeru mnavitamani kuwepo.
Sasa ifikie muda tuache kuendekeza masuala ya siasa zisizo na tija na tujikite ktk kufanya mambo ya msingi.
Huyo Joshua nassary yuko bungeni kwa maslahi yake binafsi. Sasa kama hayuko kimaslahi tunaomba apambane na ajitokeze hadharani kwa kusema hizo pesa za kurudia uchaguzi ni bora zipelekwe kwenye kujenga vituo vya afya.
Tofauti na hapo wana arumeru mjue mna mtu mwenye maslahi binafsi.
Hivi Joshua nassary hajui kuwa kuna watoto wadogo wanakoswa huduma za msingi huko mitaani?
Hivi Joshua nassary hujui kuwa kuna akina mama wanakoswa vitanda vya kulalia kwenye mazahanati na vituo vya afya?
Kama unajua jitojeze hadharani na useme neno kuhusiana na fedha za uchaguzi na useme kabisa upo kwa maslahi ya taifa au ni yako binafsi.
Jitokeze Joshua nassary.
Sent using Jamii Forums mobile app