Wana Arumeru gharama za uchaguzi wa mbunge kwanini msizitumie kwenye kujenga zahanati na shule?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Messages
1,202
Points
2,000

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2018
1,202 2,000
Wote tunafahamu matatizo waliyonayo wana arumeru ambao kwa muda mwingi mbunge wao nassary amekuwa kando kuyashughulikia.

Leo hii amejivua ubunge bila ya kuacha kitu chochote cha kimaendeleo ktk jimbo lake. Na yawezekana atapitia mlango wa nyuma pia na hatimaye kurudi jimboni.

Ukiangalia gharama za uchaguzi mara nyingi zimekuwa kubwa sanaa ambazo zinaweza kujenga vituo vya afya na zahanati na hata shule vitu ambavyo bila shaka ninyi wana arumeru mnavitamani kuwepo.

Sasa ifikie muda tuache kuendekeza masuala ya siasa zisizo na tija na tujikite ktk kufanya mambo ya msingi.

Huyo Joshua nassary yuko bungeni kwa maslahi yake binafsi. Sasa kama hayuko kimaslahi tunaomba apambane na ajitokeze hadharani kwa kusema hizo pesa za kurudia uchaguzi ni bora zipelekwe kwenye kujenga vituo vya afya.

Tofauti na hapo wana arumeru mjue mna mtu mwenye maslahi binafsi.

Hivi Joshua nassary hajui kuwa kuna watoto wadogo wanakoswa huduma za msingi huko mitaani?

Hivi Joshua nassary hujui kuwa kuna akina mama wanakoswa vitanda vya kulalia kwenye mazahanati na vituo vya afya?

Kama unajua jitojeze hadharani na useme neno kuhusiana na fedha za uchaguzi na useme kabisa upo kwa maslahi ya taifa au ni yako binafsi.

Jitokeze Joshua nassary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikarara78

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
1,448
Points
2,000

Kikarara78

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
1,448 2,000
Boss Nyankuru Wankuru Wa Africa bado sana, tutangoja sana. Sijui tumelogwa na nani aisee ??? !!!Wote tunafahamu matatizo waliyonayo wana arumeru ambao kwa muda mwingi mbunge wao nassary amekuwa kando kuyashughulikia.

Leo hii amejivua ubunge bila ya kuacha kitu chochote cha kimaendeleo ktk jimbo lake. Na yawezekana atapitia mlango wa nyuma pia na hatimaye kurudi jimboni.

Ukiangalia gharama za uchaguzi mara nyingi zimekuwa kubwa sanaa ambazo zinaweza kujenga vituo vya afya na zahanati na hata shule vitu ambavyo bila shaka ninyi wana arumeru mnavitamani kuwepo.

Sasa ifikie muda tuache kuendekeza masuala ya siasa zisizo na tija na tujikite ktk kufanya mambo ya msingi.

Huyo Joshua nassary yuko bungeni kwa maslahi yake binafsi. Sasa kama hayuko kimaslahi tunaomba apambane na ajitokeze hadharani kwa kusema hizo pesa za kurudia uchaguzi ni bora zipelekwe kwenye kujenga vituo vya afya.

Tofauti na hapo wana arumeru mjue mna mtu mwenye maslahi binafsi.

Hivi Joshua nassary hajui kuwa kuna watoto wadogo wanakoswa huduma za msingi huko mitaani?

Hivi Joshua nassary hujui kuwa kuna akina mama wanakoswa vitanda vya kulalia kwenye mazahanati na vituo vya afya?

Kama unajua jitojeze hadharani na useme neno kuhusiana na fedha za uchaguzi na useme kabisa upo kwa maslahi ya taifa au ni yako binafsi.

Jitokeze Joshua nassary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Detective J

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
10,321
Points
2,000

Detective J

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
10,321 2,000

Amejivua ubunge au kavuliwa ubunge?
Usijifanye unawapenda sana machalii ya meru.. uchauz utafanyika maana katiba inapendekeza hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
1,678
Points
2,000

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
1,678 2,000

Uchaguzi ni kielelezo cha demokrasia, demokrasia ina gharama. Atakaye kubaliana na wewe si mdemokrasia na pia akubaliane pia 2020 tusiharibu pesa ziendende kuhudumia akina mama na watoto maana Rais ni yule yule
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
7,605
Points
2,000

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
7,605 2,000
Amejivua ubunge au kavuliwa ubunge?
Usijifanye unawapenda sana machalii ya meru.. uchauz utafanyika maana katiba inapendekeza hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nassari ni mwanasheria, nina uhakika anafahamu sheria za bunge na wakati gani mbunge atakoma kuwa mbunge. Kutokuhudhuria mikutano mitatu bila ruhusa ya spika maana yake kajivua ubunge mwenyewe. Kama ana ruhusa ya spika aoneshe hiyo barua ya kumruhusu hapo tutasema kavuliwa ubunge.
 
white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
3,980
Points
2,000

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
3,980 2,000
Uchaguzi ni kielelezo cha demokrasia, demokrasia ina gharama. Atakaye kubaliana na wewe si mdemokrasia na pia akubaliane pia 2020 tusiharibu pesa ziendende kuhudumia akina mama na watoto maana Rais ni yule yule
Kulingana na sheria za uchaguzi kwa sasa hakuna tena uchaguzi utakaofanyika wa mbunge au diwani hadi uchaguzi mkuu wa 2020.
 
sodoliki

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
2,554
Points
2,000

sodoliki

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
2,554 2,000
Wote tunafahamu matatizo waliyonayo wana arumeru ambao kwa muda mwingi mbunge wao nassary amekuwa kando kuyashughulikia.

Leo hii amejivua ubunge bila ya kuacha kitu chochote cha kimaendeleo ktk jimbo lake. Na yawezekana atapitia mlango wa nyuma pia na hatimaye kurudi jimboni.

Ukiangalia gharama za uchaguzi mara nyingi zimekuwa kubwa sanaa ambazo zinaweza kujenga vituo vya afya na zahanati na hata shule vitu ambavyo bila shaka ninyi wana arumeru mnavitamani kuwepo.

Sasa ifikie muda tuache kuendekeza masuala ya siasa zisizo na tija na tujikite ktk kufanya mambo ya msingi.

Huyo Joshua nassary yuko bungeni kwa maslahi yake binafsi. Sasa kama hayuko kimaslahi tunaomba apambane na ajitokeze hadharani kwa kusema hizo pesa za kurudia uchaguzi ni bora zipelekwe kwenye kujenga vituo vya afya.

Tofauti na hapo wana arumeru mjue mna mtu mwenye maslahi binafsi.

Hivi Joshua nassary hajui kuwa kuna watoto wadogo wanakoswa huduma za msingi huko mitaani?

Hivi Joshua nassary hujui kuwa kuna akina mama wanakoswa vitanda vya kulalia kwenye mazahanati na vituo vya afya?

Kama unajua jitojeze hadharani na useme neno kuhusiana na fedha za uchaguzi na useme kabisa upo kwa maslahi ya taifa au ni yako binafsi.

Jitokeze Joshua nassary.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna gharama hapo, atachanguliwa bila kupingwa, sinema tupu
 
Kwa muda uliobakia hakuna tena chaguzi ndogo hadi 2020.kulingana na sheria za uchaguzi
 
Detective J

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
10,321
Points
2,000

Detective J

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
10,321 2,000
Nassari ni mwanasheria, nina uhakika anafahamu sheria za bunge na wakati gani mbunge atakoma kuwa mbunge. Kutokuhudhuria mikutano mitatu bila ruhusa ya spika maana yake kajivua ubunge mwenyewe. Kama ana ruhusa ya spika aoneshe hiyo barua ya kumruhusu hapo tutasema kavuliwa ubunge.
Lakin aliandika barua kuwa nn kimemfanya asiweze kuhudhuria vikao vya bunge.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukundane

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
10,323
Points
2,000

Tukundane

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
10,323 2,000
Kama wanahuruma na wananchi wa jimbo la Nassary waliomvua ubunge ndio wanaotakiwa wasiitishe uchaguzi mwaka 2020 siyo mbali, badala yake pesa ambazo zingetumika kwenye uchaguzi wa jimbo zitumike kusaidia maendeleo ya jimbo hilo, lakini kwa kuwa jimbo hilo lilikuwa upinzani na wanalitaka kwa gharama yoyote wako tayari kutumia gharama yoyote kufanya uchaguzi wa kumuweka mtu wao hata kama atakaa siku mbili ilimladi awe ni mwana CCM mwenzao.
 
BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
1,678
Points
2,000

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
1,678 2,000
Kulingana na sheria za uchaguzi kwa sasa hakuna tena uchaguzi utakaofanyika wa mbunge au diwani hadi uchaguzi mkuu wa 2020.
Mwaka mmoja kabla ya ukomo wa bunge. hivyo mwisho ni mwezi wa saba mwaka huu. atakaye vuliwa au kujivua baada ya mwezi wa saba uchaguzi hakuna.

Mwaka 2009 Mbunge wa Biharamulo mashariki alifariki mwezi wa nne na uchaguzi ukafanyika mwezi wa saba.
 
white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
3,980
Points
2,000

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
3,980 2,000
Mwaka mmoja kabla ya ukomo wa bunge. hivyo mwisho ni mwezi wa saba mwaka huu. atakaye vuliwa au kujivua baada ya mwezi wa saba uchaguzi hakuna.

Mwaka 2009 Mbunge wa Biharamulo mashariki alifariki mwezi wa nne na uchaguzi ukafanyika mwezi wa saba.
Sina uhakika na hiyo 2009!ila kwa sheria iliyopo uchaguzi mdogo utafanyika kipindi cha miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu unaofuata. Na ndio maana hata ile hama hama ya ccm walitoa deadline kuwa mwisho ni mwezi wa kumi mwaka jana, wakafunga dirisha la usajiri
 
Forum statistics

Threads 1,389,453
Members 527,931
Posts 34,025,717
Top