Wamiliki wa Magari Adimu (brand tofauti na TOYOTA, Magari yenye changamoto ya upatikanaji wa Spare Parts) Tukutane Hapa

Nunua shockup babu! Nyie sindio wafia Nissan. Kuchwa kuponda watu wa Toyota.Sie pair ya shockup hazizidi laki bee (2) na hizo ni japan quality!
Mafuta ya shock up ni hydrolic oil huwa wanajaza nenza sinza karibu na kanisa la KKT au mtafute jamaa yupo inster anaitwa Magoti fundi magari tz ,
 
gari zenye ubora zinazodumu ni Toyota,

Hizo VW, BMW, n.k muwe mnanunua za viwandani, kama hakuna pesa msulazimishe.

kuna video hapa nmeicheki ya gari 10 bora zinazodumu, 7 zipo toyota.. usiishie hapo tu soma comments

 
Namiliki Nissan FUGA timing belt tu ilikatika ikanitoka 110,000
Ndo Mkome kununua magari kwa mkumbo na unafuu wa bei. NIliwahi kununua gari Nissan Xtrail (kupitia Zoom) 3.9m TZS mwaka 2019 lakini kumbe kopo. Mpaka leo limekula 9m ukarabati kila baada ya muda mfupi ikiwemo kubadilisha Engine
 
Back
Top Bottom