Uliza chochote kuhusu spare za magari

Ibnuyawar

Member
May 6, 2020
49
149
Habari ! Wana Jf Leo nimewaletea Uzi kuhusu Spare za magari Unamiliki Gari na gari yako ina changamoto ya aina yoyote Uliza bure na unapewa ushauri bure

TAHADHARI
Ewe mmiliki wa gari Kuwa makini na gari yako unampa fundi gani Kuna sakata La kuibiwa MASEGA Kipindi hiki gari inakosa nguvu, ina misfire ya kupitiliza Masega Wana Jf tuwe makini

Natoa Huduma ya spare Na pia natoa ushauri kwa wamiliki wa gari huna mda wa kusimamia gari lako nipe kazi hyo mimi kabla ya kunipa tunakagua baada ya kumaliza kutengenezwa unakagua gari yako unaruhusiwa Kwenda

Masega mapya yanapatikana Za gari ndogo bei Ni 150,000 Ambayo hayo hayo watu wengne wanauza mpak 200,000 au 180,000

Napenda kutoa huduma Ili Kusaidia watu Waepukane na matatizo kama hayo Na sio unashida nizidi kukudidimiza

Na pia dukani zipo spare za Gari Tofauti za kijapani ikiwemo HONDA, TOYOTA, SUZUKI, SUBARU,NISSAN,MAZDA,MITSUBISHI,DAIHATSU NA BAADHI YA SPARE ZA FORD

Unaruhusiwa Linganisha bei yangu na duka unalonunua nakuhakikishia bei nzuri na kitu bora

0653527433/0789961893
ilala shaurimoyo/lindi near machinga complex
inafanyika
 
Shockup za mbele IST ya 2002 Model NCP65000 napata kwa shingapi ?
 
SPARE zenu za Dubai za kuchakachua tunanunua moja kwa moja Japan siku hizi labda washamba wasiojua mispare mibovu ya ilala.
Nimenunua spare malanyingi ilala ni mbovu Geabox mbovu za dubai Engine mbovu mkifika hapo ilala maweka ring za kichina block mnapeleka Engineeling pia nyie niwezi na bei zenu ziko juu sana
 
Wabongo bado sana mambo ya onile , huu nimtandao wa Wajapan na wabongo wameweka huduma za online sio spapre za magari tu kuna mazaga kibao

Japan kuna vitu vingi sana ambavyo huku kwetu bongo ni vipya kupitia kwenye hii website watu kama wajasiriamali inawafaa sana wanauza vitu qulity kwa bei zakawaida sana nfano laptop 10 mzuri unaweza pata kwa 2m za kibongo
hawa wauza spare wa ilala wanafeli kitu kimoja badala ya kuagiza moja kwa moja Japan wao wanataka wasafiri Dubai bila kujua wanatumia gharama kubwa kwenye usafiri na kuishi kule kuliko kuagiza wakifika kule wanapigwa engine 10 4 mbovu zimekunywa maji 6 mzima wakati ukiagiza unaweza kuchagua magari ukawashiwa Engine ukaona kabisa kupitia whatspp kisha ukakatiwa Engine zako na mzigo wako ukalipia nafasi kwenye containe ukasafirishwa ukauza kwa bei ndogo kuliko watu wanenda Dubai na mzigo waku unauzika kutona na Engine zimenyooka sio ujanjaunjanja
 
SPARE zenu za Dubai za kuchakachua tunanunua moja kwa moja Japan siku hizi labda washamba wasiojua mispare mibovu ya ilala.
Nimenunua spare malanyingi ilala ni mbovu Geabox mbovu za dubai Engine mbovu mkifika hapo ilala maweka ring za kichina block mnapeleka Engineeling pia nyie niwezi na bei zenu ziko juu sana
Kunasiki nilinunua Generator kubwa kwajili ya tofali mwaka 2018 kupitia kwa ha jamaa Digxam online nikapewa option kulipa BANK au kwanjia ya simu nikalipa wakalipakia baada ya mwezi nikaambiwa nikalichukue hapo ilala mtaa Lindi na Iringa karibu na office za Taqwa za kwenda Lumbusha DRS mkono wa kulia kama unaenda Karume kuna yard kubwa barabarani

wanauza pia vifaa vya used kama baiskeli za mtumba kwa bei ya jumla vifaa vya kilimo za kutoka Japan nilikuta nyomi ya watu wengi sana kutoka mikoa mbalimbali wamekuja kuchukua mizgo yao lakini chakushangaza majirani zao wauza spare bado wanamawazo ya kupanda ndege kwenda kupigwa.

Nikweli wabongo tubadilike kwendana na wakati pale ilala kuna Wapemba wengi sana wanauza spare za used

wengi spare zao sio mzuri
baadhi wanachanganya na spare za magari yalotumika bongo wanaenda kule mabwe panda tandale wanachukua used bongo wapiga mix maisha yanasonga
 
SPARE zenu za Dubai za kuchakachua tunanunua moja kwa moja Japan siku hizi labda washamba wasiojua mispare mibovu ya ilala.
Nimenunua spare malanyingi ilala ni mbovu Geabox mbovu za dubai Engine mbovu mkifika hapo ilala maweka ring za kichina block mnapeleka Engineeling pia nyie niwezi na bei zenu ziko juu sana
Boss Bahat nzuri am not dealing with used spare parts nadili na spare mpya Kwaio siwez kujudge kama ni kweli hvo vitu vinafanyika Au Laa kwa sababu sio mtaalamu na sijawah kuuza used Ila Nafanya kazi na watu wa used ambao nawaamin
 
Ok hii inawahusu used parts only
 
Ila kama unataka genuine cha toyota nikuskilizie kwa jamaa yangu ila bei itakuwa imechangamka

Yeah, nahitaji catalytic converter genuine by Toyota (mtumba).

Inasemekana vibuyu-masega vipya (china) siyo vizuri, havifanyi kazi vile inatakiwa, na wanasema havidumu.
 
Back
Top Bottom