Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Ni jana na ilikua muda wa mvua. Dereva alishindwa kucontrol vizuri gari ikateleza.
Hasa hawa wa ma-Eicher na TATA na mihoni yao mikali.Madereva wengi ni vichaaa
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hao abiria wenyewe kwa speed huwaambii kitu, hiyo TATA ikae mbele Konde akae nyuma basi yeye moyo wake uko kwatu