Mkuu hapa hatutaki tafsida unatakiwa uwaeleleze watu wakuelewe makosa waliyofanya CHADEMA KUMKARIBISHA LOWASA ILI HALI WAKIJUA MADHAMBI YAKE NA NIWAO HAOHAO CHADEMA WALITUAMBIA UBAYA WA LOWASA HATA KABLA HAJAFUKUZWA UWAZIRI MKUU KUWA NI FISADI MIONGONI MWA MAFISADI 11 LEO HII
CHADEMA HAO HAO TENA WANATUELEZA WATANZANIA UZURI WA LOWASA TUAMINI LIPI? AU KUNA KITU GANI CHADEMA WAMEPEWA ILI WAUKATAE UKWELI WAO WA AWALI NA KUTETEA UWONGO WA SASA? USIFUMBE MAFUMBO HAPA NCHI ITAANGAMIA LOWASA AKIACHIWA PIGANA POPOTE ULIPO KUWAJULISHA WATANZANIA HATARI INAYOTUKABILI IKIWA LOWASA ATAPEWA NCHI HITLER ALIKUWA MMOJA LAKINI ALISABABISHA MAMILIONI YA WAJERUMANI NA WATU WENGINE DUNIANI WAKAANGAMIA KWA TAMAA ZAKE ZA KUTAKA KUITAWALA DUNIA LOWASA HAFAI KUWA RAIS
Akiwa Mzee Lowasa hafai au anafaa tunacho taka sisi Wa-Tanzania ni Mabadiliko na Maendeleo yasipo toka kwa CCM basi yatatoka kwa Ukawa Msikilize Mzee wa Hekima Baba wa Taifa R.I.P. Anavyosema Maneno ya Busara.Mzizi usimung'unye maneno wote tulichoshwa na uozo wa CCM but black and white EL hafai kuwa rais hata kidogo, ni mara mln Dr.JPM akaongoza nchi na CCM kuliko hili genge la wakora kwa jina la Ukawa.
Vijana wamejitoa akili for mob psychology wamejazwa sumu akili na utashi wao umekwapuliwa.
Heri ukawa ya kina Dr. S na Prf L ilikuwa na vision, all and all siasa inamchango kidogo sana kwenye kuleta individual changes, development changes huletwa kwa we mwenyewe kufanya kazi kwa bidii.
Kwa Mawazo yako Lowasa hafai kuwa Rais kwa mawazo ya watu wengi Lowasa anafaa kuwa Rais kazi kwako Kwenye Uchaguzi utamchaguwa nani?LOWASA HAFAI KUWA RAIS
Asante kwa kunitukana kwa maneno yako ya Pumba. Utavuna ulicho kipanda. Endelea tu kunitukana Mkuu concrete15 Mungu atakulipa kwa kunitukana kwako.Mzizi Mkavu kumbe akili hewaaaa:glasses-nerdy:
hahahahahahah hakunaga laana kwenye siasa mkuuuasante kwa kunitukana kwa maneno yako ya pumba. Utavuna ulicho kipanda. Endelea tu kunitukana mkuu concrete15 mungu atakulipa kwa kunitukana kwako.
Mifano mingine haina uhalisia. huyu mama kakubuhu kwa Uovu? Kati ya John na Joseph ni nani lofa na mpumbavu?
laana itakupata kwa kuniita mimiakili zangu ni hewa wewe laana ya Mungu itakupata ukitaka usitake. Utavunda kila ulicho kipanda Lamilengu concrete15hahahahahahah hakunaga laana kwenye siasa mkuuu
kwa mawazo yako lowasa hafai kuwa rais kwa mawazo ya watu wengi lowasa anafaa kuwa rais kazi kwako kwenye uchaguzi utamchaguwa nani?
Mwisho wa siku hizi fito tunazogombania ni za ujenzi wa nyumba moja. Tatizo ni uwezo wa kuzifunga kwa uimara nani kati yetu anaweza kuzifunga kwa usahihi bila kuacha mwanya wa kuvushia tutakavyo viweka ndani? jibu la swali hilo ndio linanipa shaka kwa fundi Edo na wasaidizi wake.Akiwa Mzee Lowasa hafai au anafaa tunacho taka sisi Wa-Tanzania ni Mabadiliko na Maendeleo yasipo toka kwa CCM basi yatatoka kwa Ukawa Msikilize Mzee wa Hekima Baba wa Taifa R.I.P. Anavyosema Maneno ya Busara.
...... Pia ni kuwajulisha wanaharakati hao kuwa mabadiliko hayawezi kuja kwa kumwondoa mtu mmoja tu, bali kwa kuuong'oa mfumo wote na pahala pake kuchukuliwa na mfumo mwingine.
Neno ili ?NINGEJUWA? Siku zote huja mwisho wa safari... Na majuto ni mjukuu!
Isome yote Topic utaelewa nimekusudia kitu gani kwani nimetumia Mafumbo kama unayajuwa yafumbuwe.Mkuu unaweza kutoa maelezo kidogo hapo unamaanisha nini?
Isome yote Topic utaelewa nimekusudia kitu gani kwani nimetumia Mafumbo kama unayajuwa yafumbuwe.
Kazi kwako Nimekuachia wewe mwenyewe uyafumbuwe mafumbo yangu Mkuu SamaritanNa kweli umetumia mafumbo mkuu, kama ya kwenye lile shairi letu pendwa la karudi baba mmoja toka safari ya mbali.
Kuna baadhi ya maeneo umeniacha njia panda na kwingine tumeenda pamoja, kama hapo kwenye kuutoa mfumo wote kwa akili yangu ni kama vile tuipeleke serikali iliyopo madarakani likizo.....