Wametapika kisha wanataka tuyale

Wametapika kisha wanataka tuyale

Mkuu hapa hatutaki tafsida unatakiwa uwaeleleze watu wakuelewe makosa waliyofanya CHADEMA KUMKARIBISHA LOWASA ILI HALI WAKIJUA MADHAMBI YAKE NA NIWAO HAOHAO CHADEMA WALITUAMBIA UBAYA WA LOWASA HATA KABLA HAJAFUKUZWA UWAZIRI MKUU KUWA NI FISADI MIONGONI MWA MAFISADI 11 LEO HII

CHADEMA HAO HAO TENA WANATUELEZA WATANZANIA UZURI WA LOWASA TUAMINI LIPI? AU KUNA KITU GANI CHADEMA WAMEPEWA ILI WAUKATAE UKWELI WAO WA AWALI NA KUTETEA UWONGO WA SASA? USIFUMBE MAFUMBO HAPA NCHI ITAANGAMIA LOWASA AKIACHIWA PIGANA POPOTE ULIPO KUWAJULISHA WATANZANIA HATARI INAYOTUKABILI IKIWA LOWASA ATAPEWA NCHI HITLER ALIKUWA MMOJA LAKINI ALISABABISHA MAMILIONI YA WAJERUMANI NA WATU WENGINE DUNIANI WAKAANGAMIA KWA TAMAA ZAKE ZA KUTAKA KUITAWALA DUNIA LOWASA HAFAI KUWA RAIS

Upo sahihi mkuu, wito wangu kwenu wapenda maendeleo na amani mjiadhari na vurugu baada ya matokeo kutangazwa.

Acha wafu wawazike wafu wenzao...ni maoni
 
Hamtaki ukweli tuwafananishe na nini ata mtoto ana hakili zaidi yenu kwakua muandishi ameandika tofauti na mawazo yako basi unazani hana akili jiulize upande wa pili uenda wewe ndio ukawa huna akili
 
Mzizi usimung'unye maneno wote tulichoshwa na uozo wa CCM but black and white EL hafai kuwa rais hata kidogo, ni mara mln Dr.JPM akaongoza nchi na CCM kuliko hili genge la wakora kwa jina la Ukawa.

Vijana wamejitoa akili for mob psychology wamejazwa sumu akili na utashi wao umekwapuliwa.

Heri ukawa ya kina Dr. S na Prf L ilikuwa na vision, all and all siasa inamchango kidogo sana kwenye kuleta individual changes, development changes huletwa kwa we mwenyewe kufanya kazi kwa bidii.
 
Ccm hataaje maraikz badotu haifai kututawala .muhimu wakaetu pembeni nchi itulie
 
Mzizi usimung'unye maneno wote tulichoshwa na uozo wa CCM but black and white EL hafai kuwa rais hata kidogo, ni mara mln Dr.JPM akaongoza nchi na CCM kuliko hili genge la wakora kwa jina la Ukawa.

Vijana wamejitoa akili for mob psychology wamejazwa sumu akili na utashi wao umekwapuliwa.

Heri ukawa ya kina Dr. S na Prf L ilikuwa na vision, all and all siasa inamchango kidogo sana kwenye kuleta individual changes, development changes huletwa kwa we mwenyewe kufanya kazi kwa bidii.
Akiwa Mzee Lowasa hafai au anafaa tunacho taka sisi Wa-Tanzania ni Mabadiliko na Maendeleo yasipo toka kwa CCM basi yatatoka kwa Ukawa Msikilize Mzee wa Hekima Baba wa Taifa R.I.P. Anavyosema Maneno ya Busara.

Last edited by a moderator:
Mifano mingine haina uhalisia. huyu mama kakubuhu kwa Uovu? Kati ya John na Joseph ni nani lofa na mpumbavu?

MFano wako huu haUna pia uhalisia. hapa tuko kisiasa na kimaadili. mtu asiposutwa na dhamiri huyu ni mnyama. ebu nambie, mwizi alie jela akitoroka kweupe huku akikimbizwa na polisi utafanyaje? akikimbilia kwako ukampokea na kumkumbatia, kama na wewe huna walakini, tutakushakia . na kama ndio mabadiliko tunaaminishwa afadhali yachelewe.
 
Akiwa Mzee Lowasa hafai au anafaa tunacho taka sisi Wa-Tanzania ni Mabadiliko na Maendeleo yasipo toka kwa CCM basi yatatoka kwa Ukawa Msikilize Mzee wa Hekima Baba wa Taifa R.I.P. Anavyosema Maneno ya Busara.

Mwisho wa siku hizi fito tunazogombania ni za ujenzi wa nyumba moja. Tatizo ni uwezo wa kuzifunga kwa uimara nani kati yetu anaweza kuzifunga kwa usahihi bila kuacha mwanya wa kuvushia tutakavyo viweka ndani? jibu la swali hilo ndio linanipa shaka kwa fundi Edo na wasaidizi wake.

Bado kwenye majibu yako unauoga wa kutamka bayana unapo weka imani yako hata kama ni ndogo! Uoga huu nahisi unaimarika zaidi ili kujaribu kulinda reputation yako uliyonayo kwenye JF! Ni hatari sana kuwa mnafiki unafahamu jambo wazi wazi lakini kwa hofu ya kupoteza aiba unaamua eti kuwa natural.

MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
...... Pia ni kuwajulisha wanaharakati hao kuwa mabadiliko hayawezi kuja kwa kumwondoa mtu mmoja tu, bali kwa kuuong'oa mfumo wote na pahala pake kuchukuliwa na mfumo mwingine.
Neno ili ?NINGEJUWA? Siku zote huja mwisho wa safari... Na majuto ni mjukuu!

Mkuu unaweza kutoa maelezo kidogo hapo unamaanisha nini?
 
Isome yote Topic utaelewa nimekusudia kitu gani kwani nimetumia Mafumbo kama unayajuwa yafumbuwe.

Na kweli umetumia mafumbo mkuu, kama ya kwenye lile shairi letu pendwa la karudi baba mmoja toka safari ya mbali.
Kuna baadhi ya maeneo umeniacha njia panda na kwingine tumeenda pamoja, kama hapo kwenye kuutoa mfumo wote kwa akili yangu ni kama vile tuipeleke serikali iliyopo madarakani likizo.....
 
Kazi kwako Nimekuachia wewe mwenyewe uyafumbuwe mafumbo yangu Mkuu Samaritan
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom