Wametapika kisha wanataka tuyale

Wametapika kisha wanataka tuyale

Ama kwa hakika Nchi hii inahitaji maombi tena maombi ya kutosha, siyo bure! kuna mabo ya hatari sana yamefanyika dhidi ya wana wa Tanzania yule mtu ambaye kila siku alikuwa kwenye front pages kwamba ni mbaya mara ghafla amebadilika kuwa malaika, hapana lazima tuwaangalie marambilimbili hao wanao tunisha mishipa ya shingo kwa nguvu zao zote na wako tayari kwa lolote na defence yao kuu ni matusi kwa anaye enda naye kimyume! hii siyo bure, siyo kawaida lazima kuna vitu wamelishwa hawa watu! kama ni upinzani vyama viko vingi lakini kwanini huyu tu? hapana iko namna kama ni safari hawa ndugu zetu wamekanyaga mdudu wanahitaji msaada!
 
MziziMkavu

Kwani shida iko wapi hapo? Ni kweli walituaminisha kuwa nyoka mwenye sumu, ili wananchi tujiandae! Hapo ubaya uko wapi? Kumbuka tahadhari ni bora kuliko kupuuzia! Sasa bahati mzuri yule waliyemdhania ni nyoka kumbe sie, ila ni neema! Ubaya uko wapi viongozi wetu kutuambia hivyo! Fungukeni jamani!
 
Last edited by a moderator:
Huna uwezo wa kumnasua yoyote, so save yourself some trouble.
Kubeba box wewe na Mzee Mwanakijiji mnaona mna uwezo mkubwa ya kujua sisi malofa na nyumbu tunataka nini kuliko sisi wenyewe.
Subiri week 3 na siku 3 zijazo mtajua malofa aka nyumbu tunataka nini.
Mabadilikoooo......Lowassa.
Lowassa............Mabadiliko.

Wambie hao wabeba box
 
Heri adui mmoja unaemjua kuliko marafiki wengi wanaokumaliza kimya kimya.

Ni mbaya sawa, ila bora yeye kuliko hilo wimbi la wanafiki, wezi wanaoifanya hii nchi ya ukoo.

Ukawa hata wangesimamisha tope ningelipigia kura.
 
Hivi bado huna hata aibu kujikalia CCM MTU mzima? Nina mashaka na age yako! Au ndio wale wale mliosemwa na Twaweza?

Mch.msigwa alisema yeyote anayemuunga mkono lowasa akapimwe akili..sasa nani wakapimwe akili si ukawa wote au?
 
Pamoja na yote hayo kuanzia 25 oct rais ni lowasa.
watanzania habari za jioni,
siku ya trh 26-09-2015 askofu wa kanisa katoliki ndg kilani atoa sifa nane za mtu ambaye atakua rais wa tanzania awamu ya tano chaguo la mungu.
Akiyasema hayo gazeti la nipashe na vyombo mbalimbali vilinukuu maneno yake. Hivyo hapa nawaletea maono ya askofu kilaini;
zifuatazo ni sifa nane kwa mujibu wa askofu kilaini;

1. Mwadilifu
amesema nchi yetu ilipofika inahitaji mtu/rais ambaye anao uadilifu wa kweli na wa hali ya juu ili kuleta uongozi uliojaa uadilifu na nidhamu katika kuhakikisha kuwa watanzania wananufaika na kufurahia nchi yao na mambo yake yote.

2. Uchapa kazi kwa vitendo
nchi hii inayo rasilimali za kutosha ambapo zikitumika vyema watanzania watanufaika na maisha yao yatakuwa pazuri sana zaidi ya sasa hivi. Ili kuhakikisha hayo ni lazima tupate kiongozi mchapa kazikwa vitendo na hata tukimuuliza umefanya nini anao uwezo wa kutuambia nimefanya hili na lile.

3. Mtekeleza majukumu yake ipasavyo
kiongozi ambaye atakua amiri jeshi mkuu wa tanzania anapaswa kuwa ni mtekeleza majukumu anayopewa na yanayomhusu ipasanyo, kama umekabidhiwa jambo unalifanya kwa ukamilifu wake. Hivyo tanzania ya sasa haihitaji tena wajanjajanja ambao wanachekea watu huku hakuna utekelezaji wa majukumu yao ipasavyo.

4. Mzalendo
hakuna maendeleo tuyatakayo hapa nchini kwasababu viongozi wetu wengi sio wazalendo wa kweli, wanayoyasema hawayaishi, wanayoyahidi hawayatekelezi kisawasawa. Hivyo basi 2015-2020 inahitaji kzalendo wa kweli na naamini mpaka sasa tumeona nani mzalendo anayezungumza kwa ukali na umakini kuwa atawasaidia watanzania na atapambana na ufusadi, wezi na kushughulika na wabadhilifu wa mali na uchumu wa nchi.

5.mcha mungu
katika utumishi uliotukuka na katika utumishi uliojaa haki na utawala makini na bora ni lazima tupate rais ambaye anyo hofu ya mungu na nimcha munngu kabisa, tumepata kuwa na viongozi ambao hawana utii kwa mungu na wakaharibu utumishi. Mwaka huu watu wanaoigiza kuwa niwacha mungu wanapaswa kukataliwa kaibisa na kuwaa kura watu wanaoonekana kuwa na hofu ya mungu.

6.mpenda watu
kupendwa na watu pia ni sifa muhimu sana, ila uwe unapendwa sio kwasababu unawapa rushwa, sio kwasababu uliwaandaa muda mrefu wakupende, sio wakupende kwasababu umewafanya watamani kumkomesha mtu au chama fulani. Iwe wanakupenda kwasababu ni mtendaji wa kazi, kwasababu unachukiwa wezi mafisadi, uwe wanakupenda kwasababu hupendi mchezo ktk kazi, iwe wanakupenda kwasababu ya uzalendo wako. Nawe pia uwe unawapenda kwasababu unayapenda maelendeleo yao na uwe unawapenda kwa kuwatendea kazi ipasavyo na sio kuwaibia mali zao.

7. Asiwe boss kwa wananchi
rais ajaye hapaswi kuwa boss/ meneja wa wananchi wake. Hii ni tabia chafu kwa rais kuwa au kujifanya boss au meneja wa taifa zima. Bali rais anapaswa awe mtumishi wa watu, achukue muda wake mwingi kuwazungukia wananchi katika maeneo yao kukagua shughuli za maendeleo na kushiriki pia, hivyo lazima uwe mkakamavu wa mwili na akili.

8.ujasiri wa kuwakemea wasio waadilifu
rais wa tanzania 2015-2020 anapaswa kwa nguvu zote awe mjsiri wa kukemea na kuwaonya hata kuwachukulia hatua viongozi na watanzania wasio waadilifu. Ni lazma afanye hivyo kwa lengo la kujenga nchi yetu katika hali ya uadilifu ili kuimarisha umoja,mshikamano,na ushirikiano hata usawa na haki.na tayari mmeshaona kiongozi mwenye ujasiri wa kufanya hivyo, na hata anayekerwa na wasio waadilifu.
Kwa kuzingatia hayo tutakuwa tumepata kiongozi chaguo la mungu 2015-2020, na lazma tutampata.

Hayo ndio maono na maoni ya askofu kilaini
:glasses-nerdy:
 
Tanzania nchi yangu nakupenda sana. Mie wapendwa naomba amani tu itawale daima dumu. Maana mwaka huu du piga kura rudi h
 
Kwani shida iko wapi hapo? Ni kweli walituaminisha kuwa nyoka mwenye sumu, ili wananchi tujiandae! Hapo ubaya uko wapi? Kumbuka tahadhari ni bora kuliko kupuuzia! Sasa bahati mzuri yule waliyemdhania ni nyoka kumbe sie, ila ni neema! Ubaya uko wapi viongozi wetu kutuambia hivyo! Fungukeni jamani!

Kwahiyo huenda hata CCM ikawa ni neema na si janga kama wanavyotuaminisha siyo!
 
Ama kwa hakika Nchi hii inahitaji maombi tena maombi ya kutosha, siyo bure! kuna mabo ya hatari sana yamefanyika dhidi ya wana wa Tanzania yule mtu ambaye kila siku alikuwa kwenye front pages kwamba ni mbaya mara ghafla amebadilika kuwa malaika, hapana lazima tuwaangalie marambilimbili hao wanao tunisha mishipa ya shingo kwa nguvu zao zote na wako tayari kwa lolote na defence yao kuu ni matusi kwa anaye enda naye kimyume! hii siyo bure, siyo kawaida lazima kuna vitu wamelishwa hawa watu! kama ni upinzani vyama viko vingi lakini kwanini huyu tu? hapana iko namna kama ni safari hawa ndugu zetu wamekanyaga mdudu wanahitaji msaada!

Katika maombi hayo usifanye kosa la kumshirikisha Mshenga Mwota Ndoto, Nabii Gwajima.
 
MziziMkavu

Mkuu hapa hatutaki tafsida unatakiwa uwaeleleze watu wakuelewe makosa waliyofanya CHADEMA KUMKARIBISHA LOWASA ILI HALI WAKIJUA MADHAMBI YAKE NA NIWAO HAOHAO CHADEMA WALITUAMBIA UBAYA WA LOWASA HATA KABLA HAJAFUKUZWA UWAZIRI MKUU KUWA NI FISADI MIONGONI MWA MAFISADI 11 LEO HII

CHADEMA HAO HAO TENA WANATUELEZA WATANZANIA UZURI WA LOWASA TUAMINI LIPI? AU KUNA KITU GANI CHADEMA WAMEPEWA ILI WAUKATAE UKWELI WAO WA AWALI NA KUTETEA UWONGO WA SASA? USIFUMBE MAFUMBO HAPA NCHI ITAANGAMIA LOWASA AKIACHIWA PIGANA POPOTE ULIPO KUWAJULISHA WATANZANIA HATARI INAYOTUKABILI IKIWA LOWASA ATAPEWA NCHI HITLER ALIKUWA MMOJA LAKINI ALISABABISHA MAMILIONI YA WAJERUMANI NA WATU WENGINE DUNIANI WAKAANGAMIA KWA TAMAA ZAKE ZA KUTAKA KUITAWALA DUNIA LOWASA HAFAI KUWA RAIS
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

Mtu mzima, ni Makala safi hii ila ulikuwa hauna haja ya kuzunguka. Ninachokubaliana nawe hapa ni kuung'oa mfumo mzima wa CCM ili uje mfumo mpya wa chama kipya kitutawale hata kwa miaka 5 ili tu CCM na wengine wote wapate kujuwa kuwa kuna uwezekano wa kung'olewa madaraka. Nakuhakikishia kuwa CCM wakishindwa itakuwa pigo kubwa sana kwao na makada wote wataanza kulana wenyewe kwa wenyewe, hata na wasanii njaa wetu watagombana wenyewe kwa wenyewe kwa kuchanganikiwa kwa sababu hawataamini kilichotokea.

Sote twafahamu kuwa CCM ni adui wa haki kwa watanzania kwa sababu hakuna cha maana walichokifanya hapa nchini. Dar Es Salaam si Tanzania peke yake, haya majengo yalijegwa chini ya viwango isiwe ndiyo danganya toto kuwa CCM ni mombozi wetu, hii ni longolongo tu. Huko mikoani walikwenda kuomba kura hakuna barabara na miundombinu yake finyu, leo hii bila hata haibu wanakwenda kuwadanganya watanzania kuwa watawakomboa, mbona zile ahadi za Kikwete za maisha bora kwa kila mtanzania mapaka leo ni miaka 10 inakaribia jamaa hajatimiza hata robo yake?
 
Last edited by a moderator:
Mifano mingine haina uhalisia. John alimtamani mke wa Joseph. Mke WA Joseph alikuwa mwenye kutamaniwa na wengi kwa uzuri alio kuwa nao. John kawa kila mahali alikokuwa akiendaa alikuwa akimsema mke wa Joseph kwa kila ubaya ukiwamo na uzinzi. Joseph akapunguza waziwazi mapenzi kwa huyo mke wake jambo lililo mkera mke wa Joseph na akaamua kujiondokea. John alipoona huyo mama ametokako kwa huyo bwana akamtongoza naye akakubali kuolewa kwa John. Sasa si mke tena wa Joseph ni mke wa John. Sasa John anatamba kuwa ana mke mzuri kuliko. Joseph anang'aka si wewe John ukisema huyu mama kakubuhu kwa Uovu? Kati ya John na Joseph ni nani lofa na mpumbavu?
 
Ama kwa hakika Nchi hii inahitaji maombi tena maombi ya kutosha, siyo bure! kuna mabo ya hatari sana yamefanyika dhidi ya wana wa Tanzania yule mtu ambaye kila siku alikuwa kwenye front pages kwamba ni mbaya mara ghafla amebadilika kuwa malaika, hapana lazima tuwaangalie marambilimbili hao wanao tunisha mishipa ya shingo kwa nguvu zao zote na wako tayari kwa lolote na defence yao kuu ni matusi kwa anaye enda naye kimyume! hii siyo bure, siyo kawaida lazima kuna vitu wamelishwa hawa watu! kama ni upinzani vyama viko vingi lakini kwanini huyu tu? hapana iko namna kama ni safari hawa ndugu zetu wamekanyaga mdudu wanahitaji msaada!

Kenny na Mzizimkavu,

Mbona mmechelewa jamani?? Maneno haya na hekima zenu hizi mbona zilichelewa?? Watu wenyewe weshaamua. Hawa nyumbu, wapumbavu na malofa weshajiamulia jamani.
Mlimtumia dr mihogo akashindwa kuwabadili, mkamtumia yule Profesa akashindwa kuwanadili. Mwadhani humu JF hakuna malofa wapumbavu na manyumbu?? Yamo humu nayo tiyari yeshajiamulia. Mtu wao ni huyo huyo mwizi, fisadi, mgonjwa na marehemu anayetembea. TUTAMPELEKA IKULU AKAFIE HUKO. ILI AZIKWE KWA HISHIMA ZOOTE ZA KITAIFA. Lakini atokee pale getini Ikulu. Hata kama ni kwa sekunde 10 tu. Mabadiliko Tz ni LAZIMA TUUUU
 
Huna uwezo wa kumnasua yoyote, so save yourself some trouble.
Kubeba box wewe na Mzee Mwanakijiji mnaona mna uwezo mkubwa ya kujua sisi malofa na nyumbu tunataka nini kuliko sisi wenyewe.
Subiri week 3 na siku 3 zijazo mtajua malofa aka nyumbu tunataka nini.
Mabadilikoooo......Lowassa.
Lowassa............Mabadiliko.

Hakuna cha mabadiliko zaidi ya kubadilisha chupi tu uliyovaa. #HapaKaziTu Magufuli ndio rais wako mpya.
 
Wapumbavu na Malofa hawawezi kukuelewa kabisa. Mbaya zaidi wamekubali wao ni wapumbavu na watabaki vivyo hivyo wakiwa wapumbavu. #HapaKaziTu CHAGUA MAGUFULI.
 
Back
Top Bottom