Wameshaanza na mwanahalisi

mbarukumkali

Senior Member
May 28, 2016
126
99
Gazeti LA mwanahalisi lapewa Massa 24 kuomba radhi kwa kosa la kumchafua Rais UFISADI NDANI YA OFISI YA JPM
 
Gazeti linatoka kila baada ya Siku 6 ( kwa wiki Mara moja) lakini wamepewa saa 24 waombe radhi.
 
Nchi zingine.
Mtu A anamwambia Mtu B "Suruali yako imetoboka" Mtu B anamuuliza "Wapi?" anajibiwa "Kwenye mfuko", Mtu B anamuoneshea kua hakujatoboka alishashona siku nyingi.

Nchini kwangu;
Mtu A anamwambia Mtu B " Suruali yako imetoboka" Mtu B anajibu "Natema mate yasikauke uwe umeshaniomba radhi"
 
Back
Top Bottom